Nilikopa milioni 10, siku naona salary slip yanipasa kulipa 24m jicho la upande wa kushoto lilijifunga kama dakika 40 hivi. Nilijua limeparalyse!

Kuna baadha ya hizi micro finance mfano Finca wanatoa mikopo kwa riba ya mwezi 5% kwa mwaka inakuwa 60%. Sasa unakuta mleta mada kachukua mkopo huko kwa muda wa miaka miwili tu riba inakuwa 120% bado hawajakata bima na Administration fee lazima uchanganyikiwe tu.!
 
Acha kabisa aisee!

Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni uftapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye chamgamoto iliyonifanya niende kukopa......nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mi hata sikuwa nasikia chochote. Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.

Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona......milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!! Kwanza nilihisi baridi, harafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema). Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagwa, nilijua limeparalyse!

Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
Taja muda wa marejesho
 
WhoWeBe, kulikoni kunivunja mbavu hivi?
 
Kitu usichojua ni kwamba hata Nmb au crdb riba ya 17 % ni kwa mwaka mmoja ,ukikopa miaka 5 tegemea kulipa zaidi ya 80% ya ulichopewa
Hesabu za benki haziko hivyo. Ni kweli riba inategemea muda ila calculations siyo hizo za simple interest, ukiambiwa benki riba ni 17% unaweza kukuta ni 9.5% kwa hesabu za kawaida.
Benki nyingi zinatumia Non Reducing Calculator na makanuni mengine ya kiuchumi.

Kwa mfano mimi nilikopa nmb 6,100,000 kwa riba ya 17%, kwa miaka 3 ningetakiwa nilipe 9.2M ila nlilipa 7.8M, sasa piga hesabu uone.
 
Wala siyo kweli. Ina maana hukujaza Mkataba mpaka usubirie slip? Maana mkataba huainisha kiasi chote unachopaswa kulipa.

Na hakuna benki Tanzania inayotoza riba ya zaidi ya asilimia 100. Hakuna.

Hii ni Chai.
Wewe ndio hujui, riba ya bank halisi, chukua riba kwa mwaka zidisha kwa miaka ya kulipa
 
Tusitishane jamani interest rate kwa mwaka ni Kati ya 16% mpaka 18% kwa mwaka kwa mabank haya tunayoyafahamu. Ukizidisha hiyo Raye na let say miaka mitano ya kulipia bado haifiki hata 100%. Ukute mtoa Mada alitaka arudishe pesa ndani ya miaka kumi.
Miaka 5 ndio kama 85% kwa hiyo 17%. Shida kubwa Bank zetu hazitoi elimu ya kutosha watu wengi huwa tunadhani 17% na hii hata mimi ilinikuta. Kitu kikubwa kaa mbali na Bank unaweza kupata magonjwa usiyotegema na baya zaidi customer care zao ni majanga, hapo ulipe mkopo interest kubwa halafu wanaokupa mkopo wanategemea uwape kitu cha juu. Lakini ndio kuna wakati shida hizi hazina adabu ila fanya ufanyalo epuka hizi Bank.
 
Hesabu za benki haziko ivo.
Ni kweli riba inategemea muda ila calculations siyo hizo za simple interest, ukiambiwa benki riba ni 17% unaweza kukuta ni 9.5% kwa hesabu za kawaida.
Benki nyingi zinatumia Non Reducing Calculator na makanuni mengine ya kiuchumi.

Kwa mfano mimi nilikopa nmb 6,100,000 kwa riba ya 17%, kwa miaka 3 ningetakiwa nilipe 9.2M ila nlilipa 7.8M, sasa piga hesabu uone.
Siyo kweli, fuatilia vizuri
 
Nimeanza kulipa deni la Board toka 2016 mpaka Leo halijaisha,nategemea Disemba tumalizane.Aisee kama ni mwanao mlipie tu chuo hili deni ni konyo sana japo bumu ni tamu sana enzi hizo chuo kupiga pombe na kuchakata mbususu ila kurejesha sasa
Una uhakika linaisha??? Unaweza ukaenda ukakuta mlima wa miaka 2 bado
 
Kusahihisha kidogo post yangu sio 85% exactly kwa sababu wewe kila mwaka lile deni litakuwa linapungua kwa hiyo 17% ya mwaka wa kwanza haitakuwa kama ya mwaka wa pili na kuendelea kikubwa unaweza kujikuta unalipa karibia 30 to 40% juu ya mkopo kwa maana kama ulichukua 100 unaweza kulipa 130 kutegema na miaka ya mkopo.
 
Hapo
Hapo swala la muda ni muhimu sana me niliwai kukopa milioni kumi kwenye the benk tha listern kwa muda wa miaka mitano ukweli haikufika hata milioni kumi na tano ilikuwa napaswa kurejesha kwenye 14 ivi so kama alichukua miaka nane lazima mlima utakuwa mrefu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni miaka Saba au name NMB
 
Acha kabisa aisee!

Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni uftapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye chamgamoto iliyonifanya niende kukopa......nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mi hata sikuwa nasikia chochote. Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.

Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona......milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!! Kwanza nilihisi baridi, harafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema). Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagwa, nilijua limeparalyse!

Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
Mi nlikopa crdb 20 mil narudisha 23.7 mil bado 2 yrs nimalize

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom