Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Huyu anatudanganya labda kama alichukua mkopo wa mwaka mmoja hapo nitakubaliana naeMiaka mingapi ulichukua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anatudanganya labda kama alichukua mkopo wa mwaka mmoja hapo nitakubaliana naeMiaka mingapi ulichukua?
Acha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni uftapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye chamgamoto iliyonifanya niende kukopa......nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mi hata sikuwa nasikia chochote. Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.
Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona......milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!! Kwanza nilihisi baridi, harafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema). Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagwa, nilijua limeparalyse!
Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
Mkuu hizo taasisi za hovyo hawatozi 100/% kwa maneno kuwa unalipa 100/% hapanaWala siyo kweli. Ina maana hukujaza Mkataba mpaka usubirie slip? Maana mkataba huainisha kiasi chote unachopaswa kulipa.
Na hakuna benki Tanzania inayotoza riba ya zaidi ya asilimia 100. Hakuna.
Hii ni Chai.
Benki sio issue tuwekezeIla ndo 10M kwa 24M ? riba 100%+ huu ni wizi aisee
CRDB ipi unaizungumzia, kuna mtu alikopa 24M baada ya mwaka aka-update mkopo na kupata 12M kwa muda wa miezi 72. Marejesho mpaka akamilishe hiyo miezi 72 ni 68M. Biblia ilishalaani mambo ya mikopo ndiyo maana wenzetu waislam wana Islamic banking ambapo hakuna riba. Akopaye humtumikia bwanake.Hii itakuwa ni bayport ingekuwa bank Kama Nmb au crdb ingekuja kwenye 17
[emoji1787] Pole sanaNdio @@shunie hua nikiliona nasahau madeni yangu
Hii imezidi aisee....Ila ndo 10M kwa 24M ? riba 100%+ huu ni wizi aisee
Wakopaji wengi huanza kulalamika baada ua kutatua changamoto zilizokuwa zinakabili mkumbuke hiyo ni kama biashara zinginge na mbaya zaidi hii hiashara i atolewa macho na wengiAcha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni utapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye changamoto iliyonifanya niende kukopa, nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mimi hata sikuwa nasikia chochote.
Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.
Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona. Milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!!
Kwanza nilihisi baridi, halafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema).
Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagawa, nilijua limeparalyse!
Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
Wajinga sana hawa mabenki. Wakati unakopa waakataa kukupa mchanganuo wa hela yote utakayolipa, na kwa kuwa una haraka na shida ya hela inabidi uchukue tu bila kujua utalipa nini. Siku salary slip imetoka ndio utaipatapata.Acha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni utapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye changamoto iliyonifanya niende kukopa, nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mimi hata sikuwa nasikia chochote.
Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.
Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona. Milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!!
Kwanza nilihisi baridi, halafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema).
Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagawa, nilijua limeparalyse!
Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
Inategemea na mudaYaani riba 70% 😲😲😲😲 bado unyonyaji aisee
Ila ndo 10M kwa 24M ? riba 100%+ huu ni wizi aisee
fuatilia hili suala mkuu, itakuwa ulislid chap terms and condition hadi kwenye "I agree"Acha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni utapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye changamoto iliyonifanya niende kukopa, nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mimi hata sikuwa nasikia chochote.
Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.
Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona. Milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!!
Kwanza nilihisi baridi, halafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema).
Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagawa, nilijua limeparalyse!
Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
Enzi za ubora wangu kuna jamaa alikuwa ananidai 11m na mambo yalikuwa yamenikaba hatari sina pa kutokea. Huyo jamaa nae alikuwa mtata balaa. Siku moja kuna roho ya ajabu ikanijia na kuniambia nimpigie jamaa nimkope tena.. kweli nikampigia simu na kumwambia nataka tuonane tuongelee deni. Tumekutana na jamaa akadhani nataka nilipe nikamwambia aniongezee 5m ili nirekebishe makosa ya kwenye biashara ili mambo yaende na ile 11m nitalipa kirahisi. Alipaniki hatari ila baada ya kumpa facts za kutosha akanipatia 4m. Nilikuja kumlipa baada ya mwaka mmoja hela zake zote. Muhimu anayekudai usimkimbie wala kukatisha mawasiliano naye.bora yako wewe unahis kuchanganyikiwa,mm hapa nishavurugwaa kitambo kutoka kuchezea vicent mpk sas account zero,madeni ysikie tu kwa mwenzako ukiwa na maden ht usingiz haukubambi vzr yan pesa inatutesa san kwakwel hapa nadaiwa mpk na mama mkwe![]()
![]()
Benki gani hiyo... Mbona hakuna riba ka hiyo...!??Acha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni utapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye changamoto iliyonifanya niende kukopa, nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mimi hata sikuwa nasikia chochote.
Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.
Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona. Milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!!
Kwanza nilihisi baridi, halafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema).
Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagawa, nilijua limeparalyse!
Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
Watumwa wa serikali (watumishi) tukapitia wakati mgumu kwa sababu ya ujinga wetu,Mkuu acha tu, wakopaji tunapitia hali ngumu hapa nilipo nahisi muda si mref ntachanganyikiwa.