FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hizo ndege, kwenye picha, za abiria wangapi?Unawaambia Nini wakishua watoto wa daslam
Wanaosema uchawi haupo[emoji23][emoji23]View attachment 2631750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndege, kwenye picha, za abiria wangapi?Unawaambia Nini wakishua watoto wa daslam
Wanaosema uchawi haupo[emoji23][emoji23]View attachment 2631750
Hapa watu wanaenda kupigwa. Hii mbinu nlishawahi itumia. Nliwala sana pesa mafalah. Miaka hiyo ya 90s. Naona umeileta tena.Huweki kitu chochote unapaka kama yalivyo niliwahi kuyatumia tulienda kijiji kimoja mpakani mwa Mtwara msumbiji kuhubiri injili tuliambiwa hicho kijiji ni nyoko sana kwenye uchawi ila tulifika tukafanya huduma tukasepa bila kudhurika. ila nimeulizia bei za hayo mafuta original ni gharama sana kudadeki kuanzia 75K na kuendelea ila yana nguvu ya ajabu sana.
Wakitaka original wakutafute wewe.... Uongo? 🤣🤣🤣🤣 Hayo yao ni diluted. Wewe unaagiza ulaya au uarabuni. Hii mbinu niliwaliza sana watu.kwa hiyo unataka tubishane ikiwa huo muda sina. baki na ujuaji wako maana watanzania kila kitu ni kubisha kumbe kichwani ni empty set kapake hayo mafuta ya elfu 50 unayosema ni virgin utanipa mrejesho.
Mhubiri Injili Nyoko...😳Huweki kitu chochote unapaka kama yalivyo niliwahi kuyatumia tulienda kijiji kimoja mpakani mwa Mtwara msumbiji kuhubiri injili tuliambiwa hicho kijiji ni nyoko sana kwenye uchawi ila tulifika tukafanya huduma tukasepa bila kudhurika. ila nimeulizia bei za hayo mafuta original ni gharama sana kudadeki kuanzia 75K na kuendelea ila yana nguvu ya ajabu sana.