Umechelewa mimi kitambo nishaunfollow chawa woteUmenikbusha,ngoja na Mimi nika unfollow!
Numbers don’t lieChai
Kafanyaje ayoUmechelewa mimi kitambo nishaunfollow chawa wote
Watu wamegundua ni chawa wa CCM ana report kwa upendeleo, wameamua to unsubscribe channels zake and unfollow him on his social media accounts, in 12 hours watu laki tatu wame unfollow himMillard kafanyaje
Kaingia choo cha cityKafanyaje ayo
Kwa maana hiyo waliojiondoa kumfuata ni 0.00142%. Almost negligibleNimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia)
View attachment 3358595
Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi:
View attachment 3358596
Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje?
Ngoja nifuatilie hii.