Smart Dude
JF-Expert Member
- Sep 23, 2023
- 553
- 644
Na hii ndio tafsiri ya ujamaa, kutukanana tukanana tu ovyo. Hatuwezi kukaa kupeana michongo inayojenga zaidi. Mark my words na Utanielewa siku upinzani ukichukua nchi, kwa sababu CCM Haitakaa milele. Wafundishe wanao kuwa capitalists unless watakuwa wasindikizaji tu....... na walalamikaji tu....Wewe ni smart dude usie na akili, Ignorance is bliss!