Sasa kwa sababu sio rahisi, tuwaache walofanikiwa waendelee na kile wanachokiamini. Kuanza campaign agaist them ni ujamaa tena ya ujima usio na tija kwao hata kwetu.
Miaka ya nyuma, watu wangesubiri saa mbili usiku kuangalia habari kupitia taarifa ya habari ya ITV na zinginezo ana Redio ambazo taarifa zunachujwa mno na huwezi kuzipata zote. Kina millard na wenzao (online bloggers) wametusaidia kutuletea dunia kiganganjani zaidi na hatulazimiki tena kusubiri taarifa ya saa mbili. Sasa mnataka tubaki na mange kimambi App au account pekee???
Kumbuka pia taarifa sio za siasa pekee, wanatuhabarisha mambo mengi ya kijamii mfano ile issue ya yombo nk, sasa kwa mlengo wetu wa kisiasa tunaanza kutiana ujinga bila kuassess impacts... badala ya kuhimiza watu wafollow Chadema Media na zingine (tukakuza ufuasi wa accounts zetu rasmi) sisi tunaona ku unfollow millard ayo ni deal na tunakuza bila analysis ( imagine nimeona post ina likes 20k halfu ina comment 1k- assume comments zote ni za NRNE - inamaana likes ni za agaist hiyo campain - under ceteris - maana yake watu wa NRNE ni 5%pekee) na wakati unakiri sio rahisi kuanzisha kitu kipya... ujamaa ujamaa na hapa ndio nasema shida sio CCM ni mindset ya mtanzania