Zinarudi zote after a whileNimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia)
View attachment 3358595
Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi:
View attachment 3358596
Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje?
Ngoja nifuatilie hii.
Nadhani ni kuwa biased na habari anazotoa katika pages zake kuegemea upande mmoja ndio maana watu wana hasira nayeIla mbona jamaa sio chawa au mi ndio sielewi maana hata mikutano Yao au kutaka ubunge huwa simuoni kwenye hizo mbanga
Labda mwijaku na doto sema mambo ya siasa ngoja niachane nayo
Kumtumikia kivipi mkuuAnaogopa atanyimwa mialiko hafla za Ikulu. By the way anamtumikia pia Joseph Kusaga, yule Boss wa Clouds Media ambaye ni chawa mkubwa wa ccm.
Mkuu kufuata mtu kama Millard au page zingine sio ujinga. Sisi wengine tunaona umuhimu wake. Hao jamaa ndio wanaifanya dunia kuwa kijiji kwa kuwa tunapata habari kwa uharaka. Ni kama tulivyoamua kufuata page ya Max na App yake. Humu tunapata Elimu, Habari na burudani kwa uharaka tofauti na zamani ambapo tungesubiri taarifa ya habari au magazeti kesho ya siku ya tukioHivi ni nani aliwaambia kufolofolo hawa wapumbavu wa mitandaoni ndio ujanja.
Hii nchi kuna ushamba bado kwenye mambo ya mtandao
Unakuta mbuzi moja inasota siku nzima kuupata mlo mmoja lakini ki tecno kimejaa akauti za kufolofolo sijui dayamondi mara mwijaku, huku kuna na konde boy, na upuuzi mwingi wa kufolofolo ujinga.
Sasa kama huyu minyadi oya, hata simjui ni nani....
Tulizeni fuvu hizo.....
Insta, facebook, youtubeNi wapi huko?
Na wengi habari za uhakika tulikuwa tunapata katika pages zake. Ila siku hizi hana tofauti na TBCMkuu kufuata mtu kama Millard au page zingine sio ujinga. Sisi wengine tunaona umuhimu wake. Hao jamaa ndio wanaifanya dunia kuwa kijiji kwa kuwa tunapata habari kwa uharaka. Ni kama tulivyoamua kufuata page ya Max na App yake. Humu tunapata Elimu, Habari na burudani kwa uharaka tofauti na zamani ambapo tungesubiri taarifa ya habari au magazeti kesho ya siku ya tukio
Ikitokea ameshindwa kutimiza matarajio yetu tunajiondoa kimyakimya
Walioondoka kwa Millard ni tone. Tusubiri impact ya hiiShida hata sio CCM, shida ni watanzania wenyewe na ujamaa wao. Wajamaa ni watu wanaoamini kwenye loose loose aituation (yaani tukose wote), hajiulizi ukimu unfollow millard kwa mfano wewe unagain nini?? Na yeye anagain nini? Kwa maana ya win win?? (Instead ya kumuunfollow kwanini na wewe usitengeneze account yako uatract watu wengi kwa contents za mlengo wako ili utengeneze na pesa juu?) kuna muda wa kufikiri kama capitalists unless hata serikali zikibadilishwa tutabaki vile vile. By the way millard bado ana followers zaidi y 15.3 M IG kama ilivyokuwa jana na jamaa mwezi ujao utakuta anao 15.4.
MIMI HUWA NAWAZA MBELE YA MUDA, TOKA MWEZI WA 1 NIME WA UNFOLLOW MILLARD, WASANII WOTE KASORO DIZASTA VINNA (NAYEYE NAMSUBIRI AINGIE KWENYE18), VIONGOZI WOTE WA NCHI NA WANASIASA WA FICIEM. KIFUPI NIKIINGIA INSTA NA YOUTUBE SIONI UPUUZI UPUUZI
Pia kuna upande lazima tuwaelewe hawa jamaa. Anapoanzisha page fulani kwenye mtandao wa kijamii lengo mama ni kunufaika kupitia maudhui atakayoweka. Hivyo lazima atakuwa upande unaompa ugali yeye pamoja na wafanyakazi.Na wengi habari za uhakika tulikuwa tunapata katika pages zake. Ila siku hizi hana tofauti na TBC
Naona raia wameamka nae.... ningekuwa na Mimi nimejiunga na mtandao wa Instagram ningemkataa huyo chawaUmechelewa mimi kitambo nishaunfollow chawa wote
Hawapungukiwi na kituUmechelewa mimi kitambo nishaunfollow chawa wote
Ni mwajiriwa wa kampuni yake, na kampuni imemsaidia sana kumpa mileage. Kiaina lazima aendane na Boss wake, japo kinafiki.Kumtumikia kivipi mkuu