Nilikua najua masihara issue ya unfollow machawa. Nikachukua sample ya Milard Ayo. Aisee namba zinatembea!

Hivi ni nani aliwaambia kufolofolo hawa wapumbavu wa mitandaoni ndio ujanja.
Hii nchi kuna ushamba bado kwenye mambo ya mtandao
Unakuta mbuzi moja inasota siku nzima kuupata mlo mmoja lakini ki tecno kimejaa akauti za kufolofolo sijui dayamondi mara mwijaku, huku kuna na konde boy, na upuuzi mwingi wa kufolofolo ujinga.
Sasa kama huyu minyadi oya, hata simjui ni nani....
Tulizeni fuvu hizo.....
 
Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia)
View attachment 3358595
Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi:
View attachment 3358596
Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje?

Ngoja nifuatilie hii.
Ndugu na Hawa watu,Mwijaku,Baba Levo, na wasanii wote machawa turuke nao tunashindwa Nini?
 
Ila mbona jamaa sio chawa au mi ndio sielewi maana hata mikutano Yao au kutaka ubunge huwa simuoni kwenye hizo mbanga
Labda mwijaku na doto sema mambo ya siasa ngoja niachane nayo
Uko ulimwengu upi?
Millard Ayo ni chawa mbobezi, Mwijaku na Dotto Magari ni cha mtoto kwa Millard Ayo.

Anachokifanya Millard Ayo ni kitu kibaya na hatari kuliko hata wanachokifanya hao kina Mwijaku.

Millard Ayo huwa anafanya haya inapokuja suala la kuripoti habari kuu mbaya dhidi ya serikali.
1. Mute (Hatoi kabisa hiyo habari)
2. Filter (Anachuja hiyo habari)
3. Spinning (Analeta habari nyingine tofauti ili kufifisha hiyo habari kuu)
 
Duh! Hatari anyway sijawahi kuwa serious nae hata kumfollow sijawahi huenda ndio maana simjui sana
 
Uko ulimwengu upi?
Millard Ayo ni chawa mbobezi, Mwijaku na Dotto Magari ni cha mtoto kwa Millard Ayo.

Anachokifanya Millard Ayo ni kitu kibaya na hatari kuliko hata wanachokifanya hao kina Mwijaku.

Millard Ayo huwa anafanya haya inapokuja suala la kuripoti habari kuu mbaya dhidi ya serikali.
1. Mute (Hatoi kabisa hiyo habari)
2. Filter (Anachuja hiyo habari)
3. Spinning (Analeta habari nyingine tofauti ili kufifisha hiyo habari kuu)
Anaogopa atanyimwa mialiko hafla za Ikulu. By the way anamtumikia pia Joseph Kusaga, yule Boss wa Clouds Media ambaye ni chawa mkubwa wa ccm.
 
Vijana fanyeni kaaazi

Beneficiary wa hayo ma social media ni wenye hizo platforms
Shida hata sio CCM, shida ni watanzania wenyewe na ujamaa wao. Wajamaa ni watu wanaoamini kwenye loose loose aituation (yaani tukose wote), hajiulizi ukimu unfollow millard kwa mfano wewe unagain nini?? Na yeye anagain nini? Kwa maana ya win win?? (Instead ya kumuunfollow kwanini na wewe usitengeneze account yako uatract watu wengi kwa contents za mlengo wako ili utengeneze na pesa juu?) kuna muda wa kufikiri kama capitalists unless hata serikali zikibadilishwa tutabaki vile vile. By the way millard bado ana followers zaidi y 15.3 M IG kama ilivyokuwa jana na jamaa mwezi ujao utakuta anao 15.4.
 
Well said 🙏🏽
 
Back
Top Bottom