Nilikua najua masihara issue ya unfollow machawa. Nikachukua sample ya Milard Ayo. Aisee namba zinatembea!

Nilikua najua masihara issue ya unfollow machawa. Nikachukua sample ya Milard Ayo. Aisee namba zinatembea!

Huyu mshindi wa kalamu ya mama, kuripoti taarifa za kizalendo ambazo watanzania tunatamani zitufikie na zifike mbali ni ngumu sana anyway nishamunfolow adi YouTube nimeunsubscribe
au sio, umempiga tofali mbili moja la kichwa lingine kifuani
 
Msenge taarifa muhimu za jamii zilizo against na serikali haripoti au akiripoti anafamya spining.

Leo sio kwake wasanii wanaamua kufunga comment maana wakipost tu wanaambiwa NO REFORM NO ELECTION
Hii sasa balaa
 
Kampeni iendelee,na kwa wasanii wengine tususie kazi zao.
 
Hivi ni nani aliwaambia kufolofolo hawa wapumbavu wa mitandaoni ndio ujanja.
Hii nchi kuna ushamba bado kwenye mambo ya mtandao
Unakuta mbuzi moja inasota siku nzima kuupata mlo mmoja lakini ki tecno kimejaa akauti za kufolofolo sijui dayamondi mara mwijaku, huku kuna na konde boy, na upuuzi mwingi wa kufolofolo ujinga.
Sasa kama huyu minyadi oya, hata simjui ni nani....
Tulizeni fuvu hizo.....
We ndio mshamba kabisa
 
Nafikiri hiyo haitoshi, hatua nyingine ni kukataa matamasha ya wasanii. Kiinglio sijui elfu 20, susia wakaangalie na ndg zao tu. Hii kampeni ikiwa endevu hata vituo vya tv na redio vyenye kubagua usawa wa kisiasa ni vya kukaa
 
Jamaa mnamuonea tu bure hawezi kushindana na serikalii Hilo jeur Hana bado anajitafutaa
 
ila haiwezi shuka ikafikia 0,
nakumbuka Manara alivotoka Simba walianza hizi pigo,, lakin hadi kesho Manara yule pale, followers kama wotee,,

ni kaupepo tu kanapita,,

mie sina kabisa hizo pigo za ku follow watu maarufu,, hata acc ya twitter haina watu kabisa, insta ivoivo tena longtime sijaingia,

twitter imefungwa sina hata mpango wa kutafuta VPN, watu kama sisi sijui kuna wenzangu humu 😆 tunafanana tabia,,
 
Asahivi Blue Chawa yuko hapa:

Screenshot_20250607-145444.png
 
Back
Top Bottom