Nilikua namuunga mkono Makonda. Kwa kumdhalilisha mke wa jamaa yangu jana sasa najitoa rasmi, aendelee na kiburi chake na hatokuja kuwa rais wa nchi

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu,

Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3.

Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida.

Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.

Wakati anamlilia Kajala hadi akazidiwa na Harmo mke wake alikua mbaya?

Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport, kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!

Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.

PIA SOMA
- LHRC yamuonya Makonda kwa kumdhalilisha Mtumishi wa Kike mbele ya Umati wa Wananchi
 
Wakuu
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3,
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida,
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia kajala hadi akazidiwa na harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport , kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!
Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.
Bado hamjasema Hadi mseme 😁😁😁😁
 
Washikaji wanaosifia wake zao na kuwapost ndo wachepukaji wazuri!
 
Tunaweza kukudharau wewe, yaani we leo ndio unajua Makonda wa daladala, ni KICHWA MPIRA.. Jitula sifa, bichwa box, empty set, anaropoka tu.
 
Kikulacho kinguoni mwako.....!! Ni kawaida mwafrika kushabikia mwingine akidharirishwa ila likimgusa kwa namna moja ama nyngne anachukia..Pole sana mwambie INJINIA walimwengu hawana wema ila DUNIA inafadhira askate tamaaa......!!!
 
Subiri kwanza mkuu, hivi hii idea ya Makonda kuwa rais aliitoa mwenyewe au kuna watu wanamuona kama presidential material
 
Kikulacho kinguoni mwako.....!! Ni kawaida mwafrika kushabikia mwingine akidharirishwa ila likimgusa kwa namna moja ama nyngne anachukia..Pole sana mwambie INJINIA walimwengu hawana wema ila DUNIA inafadhira askate tamaaa......!!!
Jamaa mshamba sana mwanaume halisi hasifii mke wake kwenye mkutano Kwa kumdhalilisha mwingine, yule sio kiongozi ni mtu mshamba tu
 
Wakuu
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3,
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida,
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia kajala hadi akazidiwa na harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport , kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!
Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.
Huyo "mke wa jamaa" yako badala ya skuongea serious kaanza kubana pua. Astahili yake kilichomkumba.
 
Wakuu
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3,
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida,
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia kajala hadi akazidiwa na harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport , kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!
Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.
Unaleta undugu kwenye maslahi ya umma?
 
Huyo "mke wa rafiki" yako badala ya skuongea serious kaanza kubana pua. Astahili yake kilichomkumba.
Umeona clip lakini , shemeji alikua anaongea vizuri tu tatizo jamaa ni ushamba wake
 
Wakuu
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3,
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida,
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia kajala hadi akazidiwa na harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport , kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!
Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.
Pole! Usipende kuaminiamini watu kwa haraka hivyo. Jipe muda wa kuwasoma tabia.
 
Wakuu
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3,
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida,
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia kajala hadi akazidiwa na harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport , kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!
Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.
Ulikuwa mjinga sana kudhani Makonda aweza kuwa Rais
 
Back
Top Bottom