Bado hamjasema Hadi mseme 😁😁😁😁Wakuu
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3,
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida,
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia kajala hadi akazidiwa na harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport , kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!
Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.
Mtu wenu bakini naye wenyewe hana maana na vyeti vyake vya kuungaungaBado hamjasema Hadi mseme 😁😁😁😁
📌📌📌📌🔨Mtu wenu bakini naye wenyewe hana maana na vyeti vyake vya kuungaunga
Ni mshamba sana jamaa,Tunaweza kukudharau wewe, yaani we leo ndio unajua makonda wa daladala, ni KICHWA MPIRA.. Jitula sifa, bichwa box, empty set, anaropoka tu.
Kajala alisema jamaa ni bwege akawa anaonesha meseji Kwa washkaji jamaa likililia mapenziWashikaji wanaosifia wake zao na kuwapost ndo wachepukaji wazuri!
Jamaa mshamba sana mwanaume halisi hasifii mke wake kwenye mkutano Kwa kumdhalilisha mwingine, yule sio kiongozi ni mtu mshamba tuKikulacho kinguoni mwako.....!! Ni kawaida mwafrika kushabikia mwingine akidharirishwa ila likimgusa kwa namna moja ama nyngne anachukia..Pole sana mwambie INJINIA walimwengu hawana wema ila DUNIA inafadhira askate tamaaa......!!!
Huyo "mke wa jamaa" yako badala ya skuongea serious kaanza kubana pua. Astahili yake kilichomkumba.Wakuu
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3,
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida,
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia kajala hadi akazidiwa na harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport , kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!
Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.
Unaleta undugu kwenye maslahi ya umma?Wakuu

Umeona clip lakini , shemeji alikua anaongea vizuri tu tatizo jamaa ni ushamba wakeHuyo "mke wa rafiki" yako badala ya skuongea serious kaanza kubana pua. Astahili yake kilichomkumba.
Aliambiwa aongeze sauti, two times... Anaongea kama yupo na jamaa yako.Umeona clip lakini , shemeji alikua anaongea vizuri tu tatizo jamaa ni ushamba wake
Pole! Usipende kuaminiamini watu kwa haraka hivyo. Jipe muda wa kuwasoma tabia.Wakuu
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3,
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida,
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia kajala hadi akazidiwa na harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa kuanzia sasa najitoa kumsuport , kumbe ana kiburi anajifanya kutetea wananchi Kwa kukurupuka kiasi hicho!
Kuanzia leo nitakua namtandika spana juu ya spana.
Nimeuona mkutano wote, mwanzo mwisho, hata mimi alinikera huyo dada alivyoanza kwa kujishauwa.Umeona clip lakini , shemeji alikua anaongea vizuri tu tatizo jamaa ni ushamba wake
Ulikuwa mjinga sana kudhani Makonda aweza kuwa RaisWakuu