Nilikua sijui tofauti ya kufuga nguruwe wa mbegu na wa nyama

Nilikua sijui tofauti ya kufuga nguruwe wa mbegu na wa nyama

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈.
Hilo limenifurahisha sana na nitaenda kulifanyia kazi mara moja.

Nilikuwa nafuga bila malengo mahsusi, lakini sasa nimepata mwanga 💡. Nina uhakika nitaongeza kipato changu zaidi.”**

— Imerda Rweitaka, Mfugaji wa Bukoba 🇹🇿

---

📢 JIUNGE NA GROUP LA MAFUNZO YA KILIMO & UFUGAJI WA KIBIASHARA – RUBABA MEDIA

Kupitia group letu utapata:
✔ Mafunzo ya vitendo moja kwa moja kutoka shambani 🌱🏡
✔ Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu 👨🏾‍🌾📚
✔ Mbinu za kuongeza uzalishaji na kupunguza hasara 📈
✔ Mwongozo wa masoko na mikakati ya kuongeza faida 💡💵

📩 Tuma ujumbe: NIUNGE
📞 WhatsApp: 0764 148 221

---

📦 KUMBUKA:
Matokeo makubwa huanzia kwenye lishe bora ya mifugo 🥣🐖

Tunashauri matumizi ya bidhaa za @KoudijsTanzania 🇳🇱 kwa:
✔ Kuku 🐔
✔ Nguruwe 🐖
✔ Samaki 🐟

Bidhaa hizi husaidia:
✔ Kuongeza uzalishaji 📊
✔ Kuboresha afya ya mifugo 💚
✔ Kuweka msingi wa faida ya muda mrefu 💰✅
---

#KilimoTanzania 🌾
#UfugajiWaKibiashara 🐖
#NguruweWaKisasa
#RubabaTV 🎥
#RubabaMedia
#KilimoChaKisasa
#TijaNaFaida
#Inawezekana 🚀
 

Attachments

  • 2026-03-03-162024331.mp4
    15.9 MB
Wajiunge na group sw. Wanakujaaaaah.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom