Nilikula hela ya ada form 3 nikatumia njia hii mpaka wazazi na walimu hawakugundua kama nimetafuna

Kijana wa hovyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilimsingizia mkuu wa shule kama wewe, hadi leo hii sijapewa living certificate.
daah nyie mnatisha kama nakuona ulivyomtolea jicho na kujitoa akili kwa mkuu wa shule hahaha
 
Sasa uje umguse mwanao aliyekula ada, nakuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…