Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

Pamoja na michezo yote na umaridadi wangu chumbani kwa kulamba tundu la Sindano huku wewe kwa wengine ulilamba uzi.kama vile mapenzi huanza basi pia hufa mshenzi wewe.
 
Mshenzi mkubwa wewe[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
 
Mshenzi mkubwa wewe[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
 
Mwenyezi Mungu akujaalie utulivu wa nafsi na moyo wako uliopondeka 🐒

Mshukuru Mungu sana maana amekutoa mapema sana kwenye mateso ambayo yangekutesa zaidi baadae na pengine usinge ya mudu..

Nakutakia kila la kheri unapoelekea upande mwingine wa maisha, kadiri ya muongozo wa Mwenyezi Mungu...

usikate tamaa, maisha lazima ya songe na changamoto ni sehemu kidogo tu ya maisha yenyewe 🐒
 

Umefeli , showering women with admiration itakufanya uonekane weak, simp.
Thats what happened , now jijenge dont you ever repeat that again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…