Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

2B9X.gif
 
Safi sana, mkiambiwa mtafute hela mnalinganisha ya kale na sasa, mke anataka matunzo yakheee

Safi sana, mkiambiwa mtafute hela mnalinganisha ya kale na sasa, mke anataka matunzo yakheee
Mbona hadi wenye hela wanagongewa? Unafikiri wanawake mna cha maana mnachoridhika nacho hapa duniani? Tukiwachoma kwa magunia ya mkaa mtalalamika?
 
Nyie mnajua mbona nimekuwa mtumwa wa umarioo? Nilitendwa mara kadhaa na hawa vibinti vidogo vidogo mpaka suruali zangu zote zilikuwa zinanipwaya!!! Sikuhizi nkikaribia kukutana nao nasepa kisa wananipa kichefuchefu mno!!! Lakini Mungu ni mwema niliangukia mumama ana pepo ya upwiru baada ya lisaa ana ugwadu, poleni makapera na wajane..........naenjoy sasaiv natizama televisheni ananipikia kitimoto ikifika usiku ni chombezo
 
Mmnh
 
(Salamu nitazitoa baada ya kumrudisha mke wangu)
Kwa machungu makubwa sana naandika uzi huu.

Kwa kuwa naongea Leo kwa kua nahisi maneno ni bora kuliko kukaa kimya.

Nilikupenda sana wewe ila mke wangu sikujua kama ningeweza kuliharibu ua kwa kulimwagia maji mengi.

Pamoja na kukusifia mbele za watu ila wewe ukaamua kucheza na moyo wangu.

Kuna muda mwingine sumu na dawa inatofautishwa na vipimo.nilipumbazwa na upendo wako wa kishenzi ni kawa na penda ukweli ila naamini uongo.

Pamoja na michezo yote na umaridadi wangu chumbani kwa kulamba tundu la Sindano huku wewe kwa wengine ulilamba uzi.kama vile mapenzi huanza basi pia hufa mshenzi wewe.

Sawa nisamehe mimi kwa kukuamini ,nitaondoka kwa sababu nimekosa sababu ya kubaki.

Nakuombea sana ila jiombee mwenyewe maana hujui nakuombea nni?

Mshenzi mkubwa wewe
bado unahasira punguza hasira ufikishe ujumbe mzuri kwetu.
pole naamini unacho ulichojifunza pia.
 
Back
Top Bottom