Nilikupenda sana...

Nilikupenda sana...

Hata mimi nilishangaa unaniagia huku laazizi, sasa turudi kanisani kule tulipokutana wakati tuna hofu ya mungu tukamweleze shetani ameshaiteka ndoa yetu ili tupewe faraja na kuirudisha ndoa yetu iliyoshuhudiwa na mungu, malaika na binadamu wenye sura na mfano wa mungu. Tafadhali usisahau tuwahi mapema ili tuonane na wachungaji wetu wa kiroho na pia uende kwa mama nanii msimamizi wa ndoa yetu nami naenda kwa baba nanii ili nao wawepo.

kufanya utani kwenye shuhuli ya mwenzio masihara hayo, vile tuu mie sijui kugombana wala ingekuwa baba mtoto wangu angeshakukata mitama. Punguza utani mwenzio niko siriasi.

Hivi kweli hujaelewa anachojaribu kukwambia huyu bwana hapo juu??!!
 
Hata mimi nilishangaa unaniagia huku laazizi, sasa turudi kanisani kule tulipokutana wakati tuna hofu ya mungu tukamweleze shetani ameshaiteka ndoa yetu ili tupewe faraja na kuirudisha ndoa yetu iliyoshuhudiwa na mungu, malaika na binadamu wenye sura na mfano wa mungu. Tafadhali usisahau tuwahi mapema ili tuonane na wachungaji wetu wa kiroho na pia uende kwa mama nanii msimamizi wa ndoa yetu nami naenda kwa baba nanii ili nao wawepo.

Yaani umenichekesha kwa nguvu jamani hapo nilipo-bold, khah. Like real?!!!!

Mie nilidhani harudi home, hachangii matumizi au ana wanawake wengi mno. Jamani, kweli inabidi ujifanyie tathmini. Jaribu kumweleza na mmeo akusaidia kukua kihisia. Mweleze unavyoumia na ajaribu kukuvumilia kipindi hiki cha mpito wakati unajifunza kuwa dismainda sana.

Huna marafiki wa kukudistract? ila wasije kukutafutia mabwana. Hata hapa jf mbona ni distraction ya kutosha?
gfsonwin, kumbe nilikubishia bure, kweli ni attention.
cc snowhite

Trust me kwa jinsi huyu bidada alivyo naive hata kama jamaa ana mizigo huko nje ni ngumu sana kwake kujua.

Mkunde Original sisemi kwamba mumeo ana wanawake nje, Ni maoni tu..........usije kuanza kujimeza bure!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada angu,I can feel the pain tht you are going through,Ila ni vema ungemngoja ukamwambia face 2face unaondoka.Najua kwa hali hii hutaki hata kubak hapo hata kesho ukukute.Nakushauri kuwa mvumilivu kdogo tu had arudi pls.

Watu wameshamaliza kesi wewe ndio unakuja!!! Unakuwa kama wale ma-rescuer kwenye movie za Hollywood, maana wenyewe huwa wanatokezea wakati kazi ishaisha 🙂
 
Afu na wewe huu mtindo wa kuweka hako ka nukta mwamnzo umekatoa wapi?

Ni swaggerrr? Huyu kalimwa talaka 9

. Nilikuwa sijagundua kama naanza na kanukta.

Hii itakua swaga za simu.

Ila nimeamini jei efu inavunja ndoa aisee, imagine unalog in na kukutana na talaka toka kwa Asprin
 
Last edited by a moderator:
Asante dada ubarikiwe, nawahi home sasa nikapike leo nimempigia dada aniandalie ingredients tuu ila roho itauma zaidi iwapo nikijipikilisha halafu achelewe kurudi au aje aseme ameshiba, daaah maumivu ni mengi sana wacha nikaze moyo nibwie hivi vidonge vya muarobaini labda kuanzia wiki ijayo ntakuwa nakunywa asali na maziwa.

Take it slow. Changes come very slowly but if you endure, you surely gonna reap the fruits. I can bet my life on this!
 
Dah
Pole mkuu!
Inauma sana kitu unachothamani halafu unakuta mtu anagalagaza valu valu bila heshima wala nini. Hapo ndo nashindwaga kuwaelewa wanawake. Vere hopulesi kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sasa mkuu wewe ukipenda kitu watu ndio wasigalagaze. Hata hao vile unavyogalagaza wewe kuna watu wanavizimikia pia. Ndio dunia hiyo.
 
Wee ndio unanidistab
Niko fyatanga, nina dera jeusi na san gogozi

Njoo tujipongeze bana, afu kesho wkend basi raha.

Kongosho mbona unanitoa kwen bia na Iddi yote hii>?>>>>>> jana nane nane leo ndo ivo tena mambo mswani huyu Mkunde Original fake ni yupi>?
 
Last edited by a moderator:
Wee ndio unanidistab
Niko fyatanga, nina dera jeusi na san gogozi

Njoo tujipongeze bana, afu kesho wkend basi raha.

Asee Kongosho uwe unapiga bana..how could I miss this? :disapointed:
 
Last edited by a moderator:
Snowhite, Mkunde ni jina la KICHAGA. Smile hebu njoo utowe maana ya jina la Mkunde.

Huyu atakuwa aliolewa na Mchaga mwenzake au Msukuma, sisi Wadakama huwa ni kwa nadra sana kuolea uchagani. Niko mbioni kuibadilisha kidogo hii statistic ili niwe Mdakama (Mnyamwezi) mwingine aliyeolea Uchagani.

Nikiwa Msange JKT 1989 nilipenda sana dada mmoja mwenye jina hilo. Siku moja nikamuona wamemsimamisha mnazi, nikakata tamaa maana nilishapanga niowe kabisa...... Ila kalikuwa kametulia vizuri sana kitoto cha Kichaga.
sina hamu na wanyamwezi tena
 
Umechelewa sana maana Kaunga kashatowa baraka zake. Ukitaka kupewa juju la Kinyamwezi ubadili nia, wee sema tu huna hamu na sisi. KIKUNGU , huyu itabidi tumchimbie kale ka mti ka Mnyangala na atabadilika atupende tena, au vipi?
sina hamu na wanyamwezi tena
 
Last edited by a moderator:
Umechelewa sana maana Kaunga kashatowa baraka zake. Ukitaka kupewa juju la Kinyamwezi ubadili nia, wee sema tu huna hamu na sisi. KIKUNGU , huyu itabidi tumchimbie kale ka mti ka Mnyangala na atabadilika atupende tena, au vipi?

Umeona eeh, tunavyopenda challenge sisi; vile ambavyo vinaonekana ni vigumu ndio our potions hivyo.
 
Kwako baba mtoto,

Samahani nimekuja huku maana najua unashinda humu kuliko kushinda nyumbani, nimeamua kuvuja kwenye pakacha lako iwe nafuu kwako kulibeba, baki salama.

Nilikupenda sana mfano wa keki/chokoleti (napenda sana keki na chokoleti)

Lakini hukupendeka......., nimechoka hakika sijiwezi, kuishi tena mi na wewe
Ingawa nakupenda, lakini sitoweza.....

Ingawa rohoni nimekwisha, namwomba mola anisaidie, niweze kukusahau kabisa, nipate mwingine kushinda wewe.

Najua unausoma ujumbe huu muhusika ila leo ukirudi nyumbani hutanikuta, nitapotea kwenye taswira ya uso wako na maisha yako kabisa, hutaniona tena.

Naenda kuanza upya.

Aliyekuwa mkeo, mama mtoto wako na aliyekupenda daima,

Mkunde.

:disapointed::disapointed:
Naomba kujua hii mistari ilikuwa kwenye nyimbo ipi? Ukiacha ile remix kati ya mack d ft mr paul. Nataka original yake aloimba niitafute please jamani
 
Back
Top Bottom