Nilikupenda sana...

Nilikupenda sana...

umechoka kwani huwaga anakupa nyumba ubebe kichwani??
ha haaa, nimelipenda hili jibu lako rafiki.......
kumbe makonzi yakichanganywa na gin ukapata usingizi ukiamka kesho yake unakuwa na akili timamu!!!!! snowhite, Kaunga, Kongosho na cacico hongereni kwa makonzi ya jana kwa rafiki yetu......
leo naona yupo sober si mchezo
 
Last edited by a moderator:
Nikuibie siri?
It is hard not to fall in love with mnyamwezi, l tell you.
Sema tuko somehow reserved, tungekuwa wote machakaramu kama The Boss na mzabzab mbona tungekimbiza JF.
ha haa, jifagilie rafiki yangu..........
mimi nakuangalia tu....
Una kesi 2 za kuripoti kwangu kuhusu jana, lol!
 
jamani kuna mtu anaweza kuniambia Kongosho leo alilala wapi?
au ndo maandalizi ya Idd?
ukinipita kesho na pilau yako tusitafutane siku nyingine......
Nimekupendaje sasa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru sana mlionipa ushauri humu mbarikiwe, nimesikia moyo wangu umepata dawa na uso wangu sasa umenyooka kwa tabasamu ninayopata, mbarikiwe nawaahidi kuyafanyia kazi na ile ya kuondoka nimeiweka miguuni maana nimeikanyaga nikipiga hatua moja mbele naiacha hapo. Pamoja sana MMU Mkunde anawapenda sana.
hivi unavyoona wenzio tunahesabu tu miaka ya kuwa ndoani usifikiri humo ndani ni asali tu, kuna muarobaini pia..... ila kwa vile tunapokutana nazo tunakunywa kama dawa tunapata uponyaji. asali tunakunywa huku tunatabasamu na kumshukuru Mungu kuwa daktari wa leo kaniandikia dawa ya asali.... muarobaini tunakunywa huku tunamwomba Mungu atusaidie kuweza kumeza maana unaihitaji ili upate uponyaji.
Mungu anahusika sana kwenye raha na shida. kaza buti, songa mbele..... hakuna kurudi nyuma, na hasa ukizingatia kuwa bado unampenda, hiyo ni silaha yako kubwa sana....
Kila la heri
 
Maana yake MPENDE AU MPENDWA inategemea ni kabila gani limetokea ila kwa mimi kwa kabila lililotoka maana yake MPENDE.
Nilihisi maana hiyo kwa sababu kuna lugha ingine maana yake hiyo hiyo..
Basi "Mkunde mume wako kwa vile huyo ndo wako, ndo baba wa mtoto wako...anaweza kuwa na mapungufu yakajaa gunia ila ni mume wako...pia nadhani ndoa zina mambo mengi na hilo ni moja ya changamoto zake...
Wee Mkunde tu mume wako..ishi nae kwa mapungufu yake(aweza kubadilika) mlee mtoto wenu.
 
hivi unavyoona wenzio tunahesabu tu miaka ya kuwa ndoani usifikiri humo ndani ni asali tu, kuna muarobaini pia..... ila kwa vile tunapokutana nazo tunakunywa kama dawa tunapata uponyaji. asali tunakunywa huku tunatabasamu na kumshukuru Mungu kuwa daktari wa leo kaniandikia dawa ya asali.... muarobaini tunakunywa huku tunamwomba Mungu atusaidie kuweza kumeza maana unaihitaji ili upate uponyaji.
Mungu anahusika sana kwenye raha na shida. kaza buti, songa mbele..... hakuna kurudi nyuma, na hasa ukizingatia kuwa bado unampenda, hiyo ni silaha yako kubwa sana....
Kila la heri

Asante dada ubarikiwe, nawahi home sasa nikapike leo nimempigia dada aniandalie ingredients tuu ila roho itauma zaidi iwapo nikijipikilisha halafu achelewe kurudi au aje aseme ameshiba, daaah maumivu ni mengi sana wacha nikaze moyo nibwie hivi vidonge vya muarobaini labda kuanzia wiki ijayo ntakuwa nakunywa asali na maziwa.
 
Mmmmmh dada maneno yako yameniingia ila ........................
Kiufupi sina mpango wa kumfanyia uhalifu wowote nabeba nguo zangu tuu na za mtoto. Tatizo pia hanipi hiyo nafasi ya kumuaga nimejaribu njia zote anazofanya mwanamke mwenye boma kutunza boma lake nimeshindwa sijajua nakosea wapi kwangu naona kama naishi bure nikiendelea kukaa humu, nilishawahi kuondoka mwaka mzima nilikuwa kwa wifi yangu wala hakunitafuta mimi wala mtoto wala kuulizia kama hata nimepata ajali au la . Kweli ni mume wa ujana wangu lakini.............!!!???

Pole sana mwaya..... I thought it's a joke lakini kidogo naanza kuamini. Kama kweli unachosema ni kweli Mungu akusaidie umsamehe bure na umuombee huku ukimpa muda labda atajirekebisha na ikiwezekana tafuta muda mtoe out then mzungumze juu ya mahusiano yenu kama wanandoa yawezekana kuna jambo analopitia ambalo wewe ulijui.
 
Kwa nini usingemfata anakoshinda badala ya kuondoka???
 
Snowhite, Mkunde ni jina la KICHAGA. Smile hebu njoo utowe maana ya jina la Mkunde.

Huyu atakuwa aliolewa na Mchaga mwenzake au Msukuma, sisi Wadakama huwa ni kwa nadra sana kuolea uchagani. Niko mbioni kuibadilisha kidogo hii statistic ili niwe Mdakama (Mnyamwezi) mwingine aliyeolea Uchagani.

Nikiwa Msange JKT 1989 nilipenda sana dada mmoja mwenye jina hilo. Siku moja nikamuona wamemsimamisha mnazi, nikakata tamaa maana nilishapanga niowe kabisa...... Ila kalikuwa kametulia vizuri sana kitoto cha Kichaga.
ngoja waje wanyamwezi wenzie waseme hapa!
nyie kina Sikonge, Kaunga The Boss Elli, KIKUNGU hebu mkuje huku
si mlikula mahari nyie,au na nyie mahari mliipokea kwa tigopesa?
 
Last edited by a moderator:
umekusanya mtaji wa kutosha au ndo unarudi kijijini kwa wazee,kama hujachukua endelea kumvumilia kama mwezi hivi ujichotee rasilimali mwaya.....kitaa ni pagumu thana.

Gold digging mind sio wengi wanakuaga nazo. Wengine ni wale pure innocent wanaacha kila kitu kisha bwana akija akikuta mama ameacha kila kitu kabeba vinguo vyake tu ndo anaanza kuweweseka.
Haya mambo usibonyeze yakukute bhana. Kuna watu "don't care" type.
Ukijifanya we mjanja watu wanakuacha kwenye gofu lako uringe nalo. Hatari kitu gani bhana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwako baba mtoto,

Samahani nimekuja huku maana najua unashinda humu kuliko kushinda nyumbani, nimeamua kuvuja kwenye pakacha lako iwe nafuu kwako kulibeba, baki salama.

Nilikupenda sana mfano wa keki/chokoleti (napenda sana keki na chokoleti)

Lakini hukupendeka......., nimechoka hakika sijiwezi, kuishi tena mi na wewe
Ingawa nakupenda, lakini sitoweza.....

Ingawa rohoni nimekwisha, namwomba mola anisaidie, niweze kukusahau kabisa, nipate mwingine kushinda wewe.

Najua unausoma ujumbe huu muhusika ila leo ukirudi nyumbani hutanikuta, nitapotea kwenye taswira ya uso wako na maisha yako kabisa, hutaniona tena.

Naenda kuanza upya.

Aliyekuwa mkeo, mama mtoto wako na aliyekupenda daima,

Mkunde.

:disapointed::disapointed:

Haya maneno yenyewe ya kibuti wala hayajatoka moyoni mwako. Umebandika mwimbo tu halafu wasepa. Kila mtu mbona anaweza kufanya hii!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Snowhite, Mkunde ni jina la KICHAGA. Smile hebu njoo utowe maana ya jina la Mkunde.

Huyu atakuwa aliolewa na Mchaga mwenzake au Msukuma, sisi Wadakama huwa ni kwa nadra sana kuolea uchagani. Niko mbioni kuibadilisha kidogo hii statistic ili niwe Mdakama (Mnyamwezi) mwingine aliyeolea Uchagani.

Nikiwa Msange JKT 1989 nilipenda sana dada mmoja mwenye jina hilo. Siku moja nikamuona wamemsimamisha mnazi, nikakata tamaa maana nilishapanga niowe kabisa...... Ila kalikuwa kametulia vizuri sana kitoto cha Kichaga.

Dah
Pole mkuu!
Inauma sana kitu unachothamani halafu unakuta mtu anagalagaza valu valu bila heshima wala nini. Hapo ndo nashindwaga kuwaelewa wanawake. Vere hopulesi kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Jamani Mkunde Originali nipe nafasi tafadhari nikupende tena kwa nguvu zote km ulinzi wa OBAMA!
 
Haya snowhite lisongsong uliomchagulia mkundeoriginal hili hapa. I hope she is still mkundeoriginal and not mbaazifake 🙂🙂🙂




natamani BAK angekuwepo akupe lisongi la ONE STEP AT A TIME!wa jordan Sparks
ukija na mashairi yake ndo poa zaidi!
JIPE MUDA!
 
Last edited by a moderator:
Ndoa za wazazi wetu zimedumu kwasababu mama zetu walikuwa wavumilivu kupita kiasi hivi ukiondoka watoto wataishije? Na je utaolewa tena? Na kama utaolewa huyo mwanaume nae anamapungufu yake ogopa sana kuwa mzururaj ktk ndoa ni kwel jamaa ana makosa hebu jaribu kujichunguza na wewe inawezekana kuna sababu/tabia zako zinamfanya awe kama alivyo.
 
Back
Top Bottom