Nilikupenda sana...

Nilikupenda sana...

Take is slow and easy, wewe sio wa kwanza kuwa na migogogro ndoani na hautakuwa wa mwisho. Jifunze kutafuta masuluhisho ya matatizo yako na si kuyakimbia.

Nawashukuru sana mlionipa ushauri humu mbarikiwe, nimesikia moyo wangu umepata dawa na uso wangu sasa umenyooka kwa tabasamu ninayopata, mbarikiwe nawaahidi kuyafanyia kazi na ile ya kuondoka nimeiweka miguuni maana nimeikanyaga nikipiga hatua moja mbele naiacha hapo. Pamoja sana MMU Mkunde anawapenda sana.
 
Hata sijui hizo latin soap operas zinafananaje, this is not a movie jamani ni true life ambayo nimepitia, its sirias issue.
Nina miaka 30, ndugu nilionao ni wa baba mtoto tuu, mimi nilizaliwa mwenyewe nimelelewa na bibi nae alishakufa baba sikumfahamu wala ndugu zake, mama aliniacha kwa bibi wakati niko mdogo na aliolewa na mjerumani wakati nasoma primary hajarudi tena hadi leo na sina mawasiliano nae. Ndugu wa baba mtoto wangu siko karibu nao maana ni familia ambayo iko busy sana na mambo ya kazi na kutafuta hela hawana muda wa kusocialise hata ukienda mtembelea kama huna appointment humuoni na ukiweka appointment ni ten minutes anakwambia nina kikao zaidi ya hapo sina wa kuongea nae.

Pole sana dada angu,I can feel the pain tht you are going through,Ila ni vema ungemngoja ukamwambia face 2face unaondoka.Najua kwa hali hii hutaki hata kubak hapo hata kesho ukukute.Nakushauri kuwa mvumilivu kdogo tu had arudi pls.
 
Umeoa? Na una umri gani? Hata mimi mke wangu akienda kwao kuna saa simfuati hasa ambapo kunakuwa hakuna sababu ya msingi. Sipendi kabisa mwanamke anayezira, ni bora akazungumza tiujadiliane. Mie alienda kwao mwezi, sikumfuata wala kumwuliza, alirudi baada ya kuona mifugo(nguruwe) wake wanakonda, hamna wa kuwajali. Ile karudi tu, mie usiku nikamwambia, hebu geuka, unanichelewehsea haki yangu uliipeleka kwenu bila sababu za msingi. Nikajilipa vya mwezi mzima.

Ndio maana sie tumejivika huo ushangazi wa hiari na kumpa makavu live ya maisha, ndoa si kila siku eden. Lakini pia hatumlazimishi kubaki ndoani, anatakiwa ajichunguze yeye nafasi yake kwenye migogoro yako. Akipata jibu wajadiliane na mumewe. Kama bado hataridhika aondoke mchana kweupe sio kwa kujificha.


Na kwa nini umedhani kuwa mmewe alimwoa kwa ajili ya kupata mkopo bank? Is she a banker?

Mabank mengine kabla ya kukupa mkopo wa maana wanaitaji uwe kwenye ndoa.ok kaka umejibu vizuri aliporudi tu usiku huo huo ukadai haki yako ya ndoa pengine hilo nalo lilimrudisha,lakin according to mkunde kama nimemuelewa vizuri mshikaji hana muda hata na tunda,hakuna kujaliwa na hakuna haki ya ndoa,amekwisha kili hapa baada ya bibi yake kufa alitegemea mmuwe ndio awe mtu wake wa karibu na kukumbuka wanawake hawaingii kwenye ndoa kufata tendo pekee yake wao hasa wanaingia kujenga mahusiano ya kawaida kabisa.sipuuzi juhudi zenu za kunusuru ndoa yake lakin nataka muangalie pia katika picha kubwa.pengine anaweza kuamua kubaki lakin akaamua ampe mwanaume mwingine nafasi ambaye pengine anajua kucare na anajua kutengeneza mahusiano pia.kama mume au mke wako ahawezi kufikia level yakuwa rafk yako wakwanza kabsa naamin ndoa inahatari ya kuingiliwa na kijidudu cha mtu wa tatu na wanne
 
Mabank mengine kabla ya kukupa mkopo wa maana wanaitaji uwe kwenye ndoa.ok kaka umejibu vizuri aliporudi tu usiku huo huo ukadai haki yako ya ndoa pengine hilo nalo lilimrudisha,

Kama huna ndoa wanakupa mkopo ila wanakuambia uape kuwa huna ndoa. Sijawahi sikia mtu anaoa sababu ya mkopo, this will be new.

lakin according to mkunde kama nimemuelewa vizuri mshikaji hana muda hata na tunda,hakuna kujaliwa na hakuna haki ya ndoa,
,

Sijamsikia akisema hapewi hata chakula cha usiku, kama hapewi itabidi afanya human middle body parts invasion kama FBI ilivyoingia Pakistani kumyangamiza Osama. Miaka mi3 bila tendo na mme unaishi yake ni sawa na bomu la nyuklia.

amekwisha kili hapa baada ya bibi yake kufa alitegemea mmuwe ndio awe mtu wake wa karibu na kukumbuka wanawake hawaingii kwenye ndoa kufata tendo pekee yake wao hasa wanaingia kujenga mahusiano ya kawaida kabisa.sipuuzi juhudi zenu za kunusuru ndoa yake lakin nataka muangalie pia katika picha kubwa.pengine anaweza kuamua kubaki lakin akaamua ampe mwanaume mwingine nafasi ambaye pengine anajua kucare na anajua kutengeneza mahusiano pia.kama mume au mke wako ahawezi kufikia level yakuwa rafk yako wakwanza kabsa naamin ndoa inahatari ya kuingiliwa na kijidudu cha mtu wa tatu na wanne

Katika maisha usitegee mtu mwingine asahihishe mapungufu yako ya nyuma, unatakiwa ujisahihishe mwenyewe. Sasa unadhani mume anaweza sahihisha mkunde kutolelewa na mama au kuondokewa na bibi yake? Hawezi, ila anamsaidia kumpa maana ya maisha zaidi.

Unadhani mume naye hana matatizo yake? Unataka aache kuishi maisha yake aanza kuishi maisha mkewe tu? Haiwezekani, hata kama wameoana still thay are individuals na wanatakiwa kuwa responsibe na amsiaha yao. Mwenza ni kusaidia tu.
 
Nisaidie mdada kuniombea msamaha kwa mama katotoo...mwenzio walau nisikilizwe tu!!!

Mmewe ni bonge ya hardcore hana kabisa hii sifa ya kumbembeleza hivi,mwanaume atakayejibu kigumu gumu hapa ndio tunaweza kumdhania

Ingawa we ni mmojawapo wa wanaoshinda sana mtandaoni
 
Kila jumatatu na alhamis huwa nafunga na kufanya maombi ya faragha kwa ajili ya ndoa yangu huu mwaka wa 4 sasa.
Usije ukawa umeng'ang'ana na kufunga wakati shida ipo kwenye tabia zako... JIKAGUE NA UJUWE ANAPENDA/HAPENDI NINI NA WEWE UMWELEZE UNACHOPENDA NA USICHOKIPENDA

 
ne mpanga ilumbu lyane.
Nimeipenda avatar yako mpya, ofcourse na ya zamani ni nzuri pia.
ahahahahhah hakyamama sikuwahi kujua wananyamwezi mmeniwekea charm namna hii!
ujue Ablessed nilikuwa namzimikia tu siku nying sikujua kuwa ni mnyamwezi!
ehhhehehehheh yu guys niwekeeni maji kidgo basi!hamnitedei haki kwa kweli!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhah hakyamama sikuwahi kujua wananyamwezi mmeniwekea charm namna hii!
ujue Ablessed nilikuwa namzimikia tu siku nying sikujua kuwa ni mnyamwezi!
ehhhehehehheh yu guys niwekeeni maji kidgo basi!hamnitedei haki kwa kweli!
Mimi ni hafu kasti wa kisukuma na kinyamwezi. Ngoja jamani tukupe asali kabisaaaa
 
Mmewe ni bonge ya hardcore hana kabisa hii sifa ya kumbembeleza hivi,mwanaume atakayejibu kigumu gumu hapa ndio tunaweza kumdhania

Leo sio siku ya vita best, yaani maneno ya mke wangu yamenigusa sana...

Sipo tayari kuukosa ubavu wangu wakati ninadhani nimepewa nafasi ya kuweza kurekebisha...

Najua mke wangu ananipenda sana na ndio maana kaamua kutumia nafasi hii ya mwisho akiamini labda nitageuga na kutubu...

Mkunde Original mama wa mtoto wetu hebu rudisha moyo nyuma...
 
Back
Top Bottom