Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Ndio changamka sasa
Usisubiri mtu mwingine akuonee huruma, tafuta suluhisho la matatizo yako wewe mwenyewe kwa kujiamini. Una haki ya kuishi kwa furaha, na iko mikononi mwako. Ongea na mumeo, sio kwa kujiliza liza, bali ukiwa unataka kupata suluhu ya matatizo yenu.
Nimekuuliza, ni kipi kinachokukera sana kwa mmeo?

hapana usinipige nahisi ntazimia kabla kibao hakijatua mwilini, mie ni muoga sana, usiku huu wa leo natayafanyia kazi maneno yako na ya yule dada sijashika jina lake ila ameshikilia gauni lake kwa pembeni. Nashukuru sana maana mnenifungua ubongo uliolala.