Nilikupenda sana...

Nilikupenda sana...

Mwanamme hata akutongoze kwa miaka 10, ukimkubali tu na kuishi pamoja lazima migongano itakuwepo. Youn can't eliminate conflicts, but you can manage conflicts.

tuanzishe HARDCORE HUSBAND MANAGEMENT DIPLOMA
 
kwa muda uliofunga kwa mungu haufiki ata sekunde INGOJE AHADAI YA MUNGU NA UWE NA MSULI WA IMANI WEWE !....
Kila jumatatu na alhamis huwa nafunga na kufanya maombi ya faragha kwa ajili ya ndoa yangu huu mwaka wa 4 sasa.
 
Bi dada usifanye maigizo na maisha,
Jitahidi kupata suluhu,
Oohoo shauri lako.
 
He he he, mamaz boi na papaz gal mbaya sana

Sasa huyu ni bibiz gal, utajuuta kumfahamu.
af sasa kakutana na NOBODY boy!
ehehehhehhehehe kazi sana kumfundisha mtu kupenda akiwa tayari ni mkubwa!ye mwenyewe mamake alikuwa anamuona kwa wiki dk 10!
akiwa na shida anaandika kwenye karatasi af shida anatatua dereva au hausiboy
 
Asante ndugu, mengi uliyosema ni kweli tupu, naipenda sana ndoa yangu sikutaka ifike hapa nilipoondoka nyumbani wakati flani mwaka mzima nikiw kwa wifi yangu nilijaribu kujichunguza niligundua makosa yangu na hapo ndo nikajipa miaka 3 nirekebishe na kumuweka mwenzangu kwanza ila yeye sasa bado harudi nachelea kusema nimechoka maana utu wangu wa ndani nimeufungia miaka 3 sasa naishi kwa kujibana kuokoa ndoa yangu nikihesabu miaka 3 naona mingi sana na sidhani kama naweza ibana tena, Nikisema nimejaribu nimethubutu kweli.
Sijui kama nitaweza ongeza mingine 2 ngoja usiku wa leo ndo naweza fikiria maamuzi mengine maana hapa nimepata vitu vipya ambavyo sikuwa nimevifikiria kabla. Nashukuru sana kwa mawazo yenu yanaweza kubadili mawazo yangu ya kuondoka bali niendelee kuishi na baba mtoto na mtoto wangu pamoja.
Pole, now I understand clearly. Ulitakiwa kuonesha umekulia katika familia gani tangu mwanzo ili wachangiaji tukuelewe wewe ni mtu wa aina gani.

Kwanza nataka ujue hili, "The truth is, everyone is going to hurt you. You just got to find the ones worth suffering for."

Usidhani kuna mwanamme utampata akawa perfect 100%, unachotakiwa kujiuliza ni je, anakupa furaha? Anatimiza majukumu yake? Ankupenda kwa dhati? Ukishajijibu maswali hapo juu, utajua kama anakufaa ama lah.

At 30, ulitakiwa kuwa mwanamke mkomavu, ngangari na mwenye kutafuta suluhisho la matatizo yake kwa njia za kiutu uzima zaidi, Hili ulilofanya hapa, ni kama binti wa miaka 17. Haliendani na umri wako kabisa.

Wakati huo huo, baada ya kujua umelelewa na bibi, uko peka yako, nimekuelewa kwa nini umetumia njia hii. Watoto wanaolelewa na bibi zao wanakuwa na deko zisizo za kiuhalisia. Unaweza kuwa ulizoea kubembelezwa bembelezwa bila sababu za msingi. Ndio maana labda hata huyu mwanamme uliyenaye anaona kero kushinda na wewe sababu unataka kila saa ubembelezwe (love sucker?')

Kwanza unatakiwa kujiuliza, kwa nini mzazi mwenzio anashinda mtandaoni? Unamkera? Na kama ndio, ni mambo yapi yanamkera?

na watu wengine husema, watoto wanaozaliwa na kulelewa peke yao huwa selfish in term ya vitu na hisia, je na wewe ukoje katika hilo?

Emotional stability yako pia unatakiwa kuichunguza, are you emotionally stable? Sio kakitu kadogo tu unaruka kama umeona simba. Kweli alichokifanya mzazi mwenzio kinastahili kuachana.

Mie nakushauri kwanza ujichunguze mapungufu yako, halafu ndio uanza kumlaumu mzazi mwenzio. Nashawishika kuamini kuwa wewe ndio chanzo cha matatizo, bila hata ya wewe kujijua. na inaweza kuwa inachangia na makuzi yako.

You can do better than this. Hii dunia sio laini kihivyo, usipokuwa imara wewe mwenyewe kutetea unalolitaka hakuna atakayekuja kukutetea. Be strong for you kid and hubby, hili linajadilika. Kaa nyumbani, pika, msubiri mmoe jioni akirudi mkalishe chini muongee. Waweza jaribu kumuuliza kama na wewe unamkwaza, usidhani wewe ni malaika.

Na pia jaribu kuangalia mmeo kakulia mazingira yapi, kama ni mtu asiye emotional sana, ujue hapo kuna 'clash' Inabidi mjadialiane mtachukulianaje hizo tabia zenu za kuhisia.

Mengi ya kuandika hapa.
 
Natamani ningejua malezi ya mumewe ili kuweza kuwafanyia analysisi ya emotional stability.

Au mumewe angekuja hapa naye akatoa yake ya moyoni, tatizo huyu dada anadhani yeye yuko perfect na hamkwazi mumewe. Kutoshinda home ni dalili kubwa ya kukosa kitu fulani home.

Kingine hata njia zake za kutatua matatizo ni kuzira na kukimbia badala ya kukabiliana na kuliongelea tatizo. Imagine mtu hawezi hata kumface mmewe kumwambia anaondoka home? Anakuja kumuagia jf? Low self esteem ya hali ya juu sana.

Lakini huyu anahitaji kukalishwa na mtu na kuwa trained, aondolewe hayo mawazo ya kitoto kitoto yaliyomjaa na awekewe kichwani reality. Anatakiwa ajue ndoa sio ku du tu na kupelekana guest, kunakutafuta chakula na kutolelewana pia.

Anaishi maisha ya mtu wa miaka 17 at 30.
you are very right conie.
huyu bidada nimemwambia awe prudent haya maisha ya udeki na uneng'ene sio kabisa. namini mumewe hakuanza leo kushinda mtandaoni wala kutokushinda home lkn je dada mwenyewe alijiangalia??

what i believe hata kama mume ni mbaya kama shetan a wife can turn him into an angel. na ndo mana biblia ilisema ""NIMEWEKA JAMBO JIPYA CHINI YA MBINGU YA KWAMBA MWANAMKE ATAMLINDA MWANAUME"

Haikuwa na maana kwamba atamlinda kwa mapanga ama mashoka ni kw akusali na kufunga na kwa neno la Mungu. Sikataai wanaume wanamaudhi sana lkn wanawake wote wanaoish nao huyakabili kike na maisha yakaena. sasa ukiona mwanamke hata solution nzuri umekosa unakuja kwenye jf, bbm, twitter, fb na the like kumtaliki basi wewe ni tatizo zaid yake.
 
Asante ndugu, mengi uliyosema ni kweli tupu, naipenda sana ndoa yangu sikutaka ifike hapa nilipoondoka nyumbani wakati flani mwaka mzima nikiw kwa wifi yangu nilijaribu kujichunguza niligundua makosa yangu na hapo ndo nikajipa miaka 3 nirekebishe na kumuweka mwenzangu kwanza ila yeye sasa bado harudi nachelea kusema nimechoka maana utu wangu wa ndani nimeufungia miaka 3 sasa naishi kwa kujibana kuokoa ndoa yangu nikihesabu miaka 3 naona mingi sana na sidhani kama naweza ibana tena, Nikisema nimejaribu nimethubutu kweli.
Sijui kama nitaweza ongeza mingine 2 ngoja usiku wa leo ndo naweza fikiria maamuzi mengine maana hapa nimepata vitu vipya ambavyo sikuwa nimevifikiria kabla. Nashukuru sana kwa mawazo yenu yanaweza kubadili mawazo yangu ya kuondoka bali niendelee kuishi na baba mtoto na mtoto wangu pamoja.

kerbu na makofi ya kongosho mchezo!
hebu GROW UP mkunde!
kuwa mama na mwanamke!
ingekuwa ni rahisi na simpo hivyo kupeana talaka jf basi mamods wangeweka na kituo cha polisi humu!
 
Kwako baba mtoto,

Samahani nimekuja huku maana najua unashinda humu kuliko kushinda nyumbani, nimeamua kuvuja kwenye pakacha lako iwe nafuu kwako kulibeba, baki salama.

Nilikupenda sana mfano wa keki/chokoleti (napenda sana keki na chokoleti)

Lakini hukupendeka......., nimechoka hakika sijiwezi, kuishi tena mi na wewe
Ingawa nakupenda, lakini sitoweza.....

Ingawa rohoni nimekwisha, namwomba mola anisaidie, niweze kukusahau kabisa, nipate mwingine kushinda wewe.

Najua unausoma ujumbe huu muhusika ila leo ukirudi nyumbani hutanikuta, nitapotea kwenye taswira ya uso wako na maisha yako kabisa, hutaniona tena.

Naenda kuanza upya.

Aliyekuwa mkeo, mama mtoto wako na aliyekupenda daima,

Mkunde.

:disapointed::disapointed:

Nakutakia maisha mema
 
halafu kingine mamii!
SIO KWAMBA NDOA YAKO haina tatizo!
na wala sio kwamba tunavyosema humu zetu ziko poooooa!
HAPANA !NI NAMNA WEWE UNAVYOYACHUKULIA HAYA!
sawa!
hebu hata kama ni kuachana hebua achana nae ukiwa na akili za mwanamke wa miaka 30
 
Ha ha ha, najua mie kiazi.
Ngoja nimkuze huyu mkunde hadi awe mchicha feki.

Ha ha, nikupe siri kwa nini nimeamua kumpa ukweli huu? Kuna kitu amenigusa, ukitaka kujua just hola.
umenipa tabasamu usoni maana wakati nasoma wanafunzi wenzangu walikuwa wananitania sana that way, thanks much.
 
Kwanza, acha kujionea huruma kuwa unaonewa, sababu huyu mwanamme hakukubaka, ulimpenda na mkakubaliana.
Na usitake kumbadili yeye, bali wote wawili mbadilike ili kuweza ku-accomodate one another.

Hebu niambia makosa yake makubwa kabisa yanayokukera, nitakuambia kitu.

Asante ndugu, mengi uliyosema ni kweli tupu, naipenda sana ndoa yangu sikutaka ifike hapa nilipoondoka nyumbani wakati flani mwaka mzima nikiw kwa wifi yangu nilijaribu kujichunguza niligundua makosa yangu na hapo ndo nikajipa miaka 3 nirekebishe na kumuweka mwenzangu kwanza ila yeye sasa bado harudi nachelea kusema nimechoka maana utu wangu wa ndani nimeufungia miaka 3 sasa naishi kwa kujibana kuokoa ndoa yangu nikihesabu miaka 3 naona mingi sana na sidhani kama naweza ibana tena, Nikisema nimejaribu nimethubutu kweli.
Sijui kama nitaweza ongeza mingine 2 ngoja usiku wa leo ndo naweza fikiria maamuzi mengine maana hapa nimepata vitu vipya ambavyo sikuwa nimevifikiria kabla. Nashukuru sana kwa mawazo yenu yanaweza kubadili mawazo yangu ya kuondoka bali niendelee kuishi na baba mtoto na mtoto wangu pamoja.
 
Ukiondoka nitakukata makofi ujue? Mie namaliza wino kukushauri hapa, unadhani unanilipa?

hapana usinipige nahisi ntazimia kabla kibao hakijatua mwilini, mie ni muoga sana, usiku huu wa leo natayafanyia kazi maneno yako na ya yule dada sijashika jina lake ila ameshikilia gauni lake kwa pembeni. Nashukuru sana maana mnenifungua ubongo uliolala.
 
halafu kingine mamii!
SIO KWAMBA NDOA YAKO haina tatizo!
na wala sio kwamba tunavyosema humu zetu ziko poooooa!
HAPANA !NI NAMNA WEWE UNAVYOYACHUKULIA HAYA!
sawa!
hebu hata kama ni kuachana hebua achana nae ukiwa na akili za mwanamke wa miaka 30

mimi siwez kumshauri sana juu ya kutokuachana ila tu namsema kwasababu ya approach alotumia kumtaliki
YAANI FB, JF, TWITTER, BBM, bado mablog yote ya kishenzi kama vile RAHA TUPU, BLACK WA UKWELI khaaa!!
hii ni ndoa ama ni nini??

ama kweli zama za ndoa zimeisha na sasa zimebaki zama za ndoa .com

We Mkunde Original KWA HIYO UNAMPANGO WA KUWA UNAKUJA KUIBA NAYE..?? Au unataka kuja kuwa nyumba ndogo yake siku za usoni..??? Maana mimi story yangu ilikuwa inakupa athari za kuachana kwa namna unayotaka kufanya wewe

Hapana madhara ya stori yako nimeyapata na nimeelewa ila hapo pa kuzaa mtoto wa pili ndo nimecheka maana mie naona kama haiwezekani kuwa mmeachana then mnaibia kuzaa mtoto wa pili.
 
kwangu ni kipimo cha mapenzi ya dhati kwake!

na kipimo cha mapenz ya dhati sio mapugufu ya mwenzi wako manake kwa kufanya hivyo hutaweza kuyarekebisha.
kipimo cha mapenzi/upendo ni uvumilivu, utu wema, moyo wa kiasi,kutokuhusudu, kutotakabari and the like
 
Back
Top Bottom