Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
its not an overnigt thing!
atuulize wenzie tulivyolowesha mito na kupishwa viti kwenye daladala(manake wanahisi sijui umefiwa)
Ndio changamka sasa
Usisubiri mtu mwingine akuonee huruma, tafuta suluhisho la matatizo yako wewe mwenyewe kwa kujiamini. Una haki ya kuishi kwa furaha, na iko mikononi mwako. Ongea na mumeo, sio kwa kujiliza liza, bali ukiwa unataka kupata suluhu ya matatizo yenu.
Nimekuuliza, ni kipi kinachokukera sana kwa mmeo?
Ha ha ha ha, unadhani mioyo mitukutu huja tu? Ni magunzo ya kijeshi ya miaka kadhaa
Umenikumbusha kitu, nimecheka kwa headphone, oops kwa spiker
Kwako baba mtoto,
Najua unausoma ujumbe huu muhusika ila leo ukirudi nyumbani hutanikuta, nitapotea kwenye taswira ya uso wako na maisha yako kabisa, hutaniona tena.
Attention hasa hasa, yaani kwa kifupi uliyoniambia hapo juu ni kweli tupu na nimegundua mengi, bibi yangu was everything to me na yeye ndio aliniozesha kabla hata hajafariki. Nimeumia sana nakuwa na kitu au shida ya kumueleza baba mtoto yeye haoneshi attention hata au ukishamueleza unategemea a sympathy na wewe yeye ndo kwanza anachukua simu anaanza kuchat bila hata kukwambia kitu au anakwambia ok yaaani nilikuwa kama kichaa.............
Ila now nimegundua kitu usiku huu walah na hivi kesho sikukuu nahakikisha nayafanyia kazi haya yote akirudi silali hadi nimalize mzizi wa fitina. Asanteni sana.
naona wanaume wanachungulia tu humu bila kutia neno
naona wanaume wanachungulia tu humu bila kutia neno; ninaanza kuwahisi baadhi. Katika guest hatakuwepo mzazi mwenzie Mkunde kweli? LOL
There are currently 103 users browsing this thread. (19 members and 84 guests)
hv unajua huo ni ugonjwa!Yaani umenichekesha kwa nguvu jamani hapo nilipo-bold, khah. Like real?!!!!
Mie nilidhani harudi home, hachangii matumizi au ana wanawake wengi mno. Jamani, kweli inabidi ujifanyie tathmini. Jaribu kumweleza na mmeo akusaidia kukua kihisia. Mweleze unavyoumia na ajaribu kukuvumilia kipindi hiki cha mpito wakati unajifunza kuwa dismainda sana.
Huna marafiki wa kukudistract? ila wasije kukutafutia mabwana. Hata hapa jf mbona ni distraction ya kutosha?
gfsonwin, kumbe nilikubishia bure, kweli ni attention.
cc snowhite
natamani BAK angekuwepo akupe lisongi la ONE STEP AT A TIME!wa jordan SparksNawashukuru sana mlionipa ushauri humu mbarikiwe, nimesikia moyo wangu umepata dawa na uso wangu sasa umenyooka kwa tabasamu ninayopata, mbarikiwe nawaahidi kuyafanyia kazi na ile ya kuondoka nimeiweka miguuni maana nimeikanyaga nikipiga hatua moja mbele naiacha hapo. Pamoja sana MMU Mkunde anawapenda sana.
hv unajua huo ni ugonjwa!
yani mtu anaumwa kabisa!anatafuta kujaliwa!mwe