Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
- Thread starter
- #101
so sad!!
lkn hii haikupi sababu ya kuifanya jf kikao cha ukoo cha kumtaliki mumeo.Bado ulikuwa unauwezo wa kutumia approach ambayo ni nzuri zaid kama kushirikisha marafiki wale wa karibu sana na hata wazee wa kanisa. huoni hapa unakuwa umejivunjia heshima na kuwafanya watu wengine kama mimi kuhisi kwamba huu ni utani??
Kwakweli nimekuja hapa kutua ambayo nilitaka kuyatua kwa baba mtoto ni mume wangu wa ndoa ila nimeona nazidiwa kazi sizifanyi vizuri, moyo wangu somehow ulishakufa ganzi hauna hasira tena wala haujali kwakuwa nilishafanya rescue nyingi na hakuna iliyozaa matunda. Hata wanaofanya utani sina la kuwafanya wala kuajibu zaidi ya kuwapita tuu.