Nilikupenda sana...

Nilikupenda sana...

Ndio changamka sasa

Usisubiri mtu mwingine akuonee huruma, tafuta suluhisho la matatizo yako wewe mwenyewe kwa kujiamini. Una haki ya kuishi kwa furaha, na iko mikononi mwako. Ongea na mumeo, sio kwa kujiliza liza, bali ukiwa unataka kupata suluhu ya matatizo yenu.

Nimekuuliza, ni kipi kinachokukera sana kwa mmeo?

hapana usinipige nahisi ntazimia kabla kibao hakijatua mwilini, mie ni muoga sana, usiku huu wa leo natayafanyia kazi maneno yako na ya yule dada sijashika jina lake ila ameshikilia gauni lake kwa pembeni. Nashukuru sana maana mnenifungua ubongo uliolala.
 
Kwanza, acha kujionea huruma kuwa unaonewa, sababu huyu mwanamme hakukubaka, ulimpenda na mkakubaliana.
Na usitake kumbadili yeye, bali wote wawili mbadilike ili kuweza ku-accomodate one another.

Hebu niambia makosa yake makubwa kabisa yanayokukera, nitakuambia kitu.
Kongosho bado hujaona tu makosa ya mumewe??
NI KUSHINDA MITANDAONI, KUTOONEKANA NYUMBANI, KUTOPOKEA SIMU, KUTOJIBU SMS haya hapa utasemaje??

ukitaka kufukunyua sana akosa yote haya kisababish ni bidada.
soma signature ya snowhite ui-intenealize
 
Last edited by a moderator:
nimekusoma dada maneno yako hayapiti bure nayafanyia kazi usiku huu, asante sana.
umechoka kwani huwaga anakupa nyumba ubebe kichwani??
nikusomavyo wewe ni mdeki jambo ambalo hakuna mwanaume aliye rijali anaweza kulivumilia. kwa jins unavyoandiika ni yule mtu mwenye gubu ambaye kosa la leo utalisema hadi mwaka kesho unakumbusha na kukumbusha hai mtu anakerekwa.

mumeo kushinda mitandaoni ina maana kwamba mitandao inamfarijikuliko wewe. na hapa unanipa clue kwamba grand moms rearing was very poor interms of building a self motivated person person who can think and act accordingly. wewe kuwa peke yako peke yako umejiwekea cluster ya kutokuweza kuish na mtu na haya ni matokeo ya maisha ya upweke ya bila kuwa na experience ya kuvumilia na kutatua matatizo yajayo kwako yasababishwayo na mtu baki.

hata uondoke huyo Mungu utakaye mwmba hawez kumuumba malaika akupe uish nae milele, bdo utaishia kupata mwanadamu tena ambaye anaisha hapa hapa duniania tena unia hii hii yenye ambaye shetani aliyeasi mbiguni alitupwa na leo hii anazunguka zunguka kuwapoteza watu.

be prudent an 30 yrs lady unatakiwa uwe umeshajitambua kiasi cha kuelewa ni njia ipi bora ya kutatua matatizo yako na sio kuja kumtaliki mume hapa. namwonea sana huruma mwanao manake huyu atakuwa muhanga wa akili yako isiyotaka kuwaza kwa mapana ila unafikiria tu urefu wa pua yako.

hebu usomapo post hii kaa chini jifkirie kama kweli umetena sahhi kuja kumtaliki hapa, na pia jifikirie kama kweli unaweza kukutana na mwanaume akamvumilia mwanamke wa aina yako.
 
kumbuka do everything but u 'ill neva change ur next side into perfection state, be tolerance and ask God 2 help wherever u have failed!
na kipimo cha mapenz ya dhati sio mapugufu ya mwenzi wako manake kwa kufanya hivyo hutaweza kuyarekebisha.
kipimo cha mapenzi/upendo ni uvumilivu, utu wema, moyo wa kiasi,kutokuhusudu, kutotakabari and the like
 
Sitaki kuamini, Hawaishi nyumba moja?

Endelea kumkuza kwa kweli, bado kalala kabisa.

Kongosho bado hujaona tu makosa ya mumewe??
NI KUSHINDA MITANDAONI, KUTOONEKANA NYUMBANI, KUTOPOKEA SIMU, KUTOJIBU SMS haya hapa utasemaje??

ukitaka kufukunyua sana akosa yote haya kisababish ni bidada.
soma signature ya snowhite ui-intenealize
 
unavyoongea ni kama umeandika yaliyo moyoni mwangu daaah!!! leo usiku ninahitaji kufanya maamuzi ya hali ya juu ambayo yanatokana na michango ya humu jamvini, asanteni sana.
yani kama vile sisi tusivyopenda wale sijui ndo tunawaita mamas boy hata wanaume hawapendi papaz girl
unaweza kuamini hupendwi hujaliwi hufanwyi nini sijui kumbe mtu tu anataka a grown up woman in you!\

ila,
historia ya bidada na yenyewe has some charm on this !
huyu mamii mama yake alimwacha akaolewa na mudhungu,AKAJIHISI KUKATALIWA
huyu mamii akalelewa na bibi,bibi wa watu wacha adekeze,hajakaa vizuri bibi akafariki maskini,AKAJIHISI AMEACHWA
huyu mamii aliona labda awe na mwenza,mwenza nae ndo hivyo hardcore ,AKAAMINI HAPENDWI
huyu mamii aliamini familia ya mumewe itakuwa ya kwake,kauta familia ni melanchony kuliko maelezo,AKAHITIMSHA HANA THAMANI
(angalia namna anavyokomaa na mwanae,sijasema ni mbaya)MAANA NDIYE ANAAMINI NI WAKE PEKEE
 
Ha ha ha, mtoto atatolea talaka skype au instagram au wasaap

sasa kama umenielewa msome vyema Kongosho kisha rui anza kuyafanyia kazi haya. wewe uliwa hivyo hivi unategemea mwanao aweje si atakuwa kuzidi wewe??

manake imebii nicheke mama anatoa talaka mtandaoni mtoto si atatolea talaka gazetini??
 
Kongosho and gfsonwin,jaribuni kuueleza ukweli kwa upendo,ukweli bila upendo unaumiza pia,halafu msizichukulie poa juhudi ambazo mkunde amefanya,kama kwenda kukaa kwa wifi mwaka mzima alafu mwanaume akutafuti me ni mwanaume ila hili nalo linatisha,amesema amechukua muda wa mwaka mzima kujifanyia tasmini,akarudi akakubali kushuka for three years mpaka hapo my dia hongera,msisahau hana background like wengine ukipata shida ya ndoa unaweza ukamweleza mama yako mkalia pamoja akakuombea then mkasonga mbele.hapati haki ya ndoa na security kutoka kwa mwanaume,nachelea kusema usikute mume wake alimuoa ili apate kirahisi mkopo bank.CHAMSINGI alichosema kongosho ni swala la emotional la huyo mwanaume kama ni maombi basi yaanzie hapo cause kwa mwanaume wa kawaida akishaanza familia hata ikiwa na matatizo kunasiku hata rudi nyuma hata kwa gia ya mtoto.Katika haya yote ambao atujaoa tuna mengi ya kujifunza hapa
 
kuringa ni moja ya tabia zangu bila hata ya hiyo picha kuwa mimi naringa tayari.
Hapana hakunichumbia jamvini alinifahamia kanisani ila huku mitandaoni ndo anakoshinda na kulala, lengo langu message imfikie na asinitafute asiponiona nyumbani kwake maana naondoka.
Wiyelele ameisoma hii?
 
Last edited by a moderator:
Message zangu hajibu simu yangu hapokei busy mitandaoni, nimerusha message hii kwenye mitandao yote anakoshinda ili ujumbe umfikie na ajue kuwa nimefanya maamuzi na niko siriasi.

Ushapata mwengine? Achana naye huyo, njoo kwangu, hutaondoka kamwe......
 
Ngoja nikuambie, huwezi jifunza haya yote kwa siku moja

Unahitaji uzoefu, jipe nafasi ya kujifunza taratibu na kupona vidinda vyako vya nyuma. Ukitaka uweze yote haya kwa siku moja you will break down.

Ila ondoa wazo la kukimbia kwa mmeo kwa kutoroka kama kimada, be proud of yourself, jithamini kwanza kuona hata siku ndoa hiyo ikikoma utaondoka kwa mmeo machana with your head high.

unavyoongea ni kama umeandika yaliyo moyoni mwangu daaah!!! leo usiku ninahitaji kufanya maamuzi ya hali ya juu ambayo yanatokana na michango ya humu jamvini, asanteni sana.
 
Ngoja nikuambie, huwezi jifunza haya yote kwa siku moja

Unahitaji uzoefu, jipe nafasi ya kujifunza taratibu na kupona vidinda vyako vya nyuma. Ukitaka uweze yote haya kwa siku moja you will break down.

Ila ondoa wazo la kukimbia kwa mmeo kwa kutoroka kama kimada, be proud of yourself, jithamini kwanza kuona hata siku ndoa hiyo ikikoma utaondoka kwa mmeo machana with your head high.

its not an overnigt thing!
atuulize wenzie tulivyolowesha mito na kupishwa viti kwenye daladala(manake wanahisi sijui umefiwa)
 
Umeoa? Na una umri gani? Hata mimi mke wangu akienda kwao kuna saa simfuati hasa ambapo kunakuwa hakuna sababu ya msingi. Sipendi kabisa mwanamke anayezira, ni bora akazungumza tiujadiliane. Mie alienda kwao mwezi, sikumfuata wala kumwuliza, alirudi baada ya kuona mifugo(nguruwe) wake wanakonda, hamna wa kuwajali. Ile karudi tu, mie usiku nikamwambia, hebu geuka, unanichelewehsea haki yangu uliipeleka kwenu bila sababu za msingi. Nikajilipa vya mwezi mzima.

Ndio maana sie tumejivika huo ushangazi wa hiari na kumpa makavu live ya maisha, ndoa si kila siku eden. Lakini pia hatumlazimishi kubaki ndoani, anatakiwa ajichunguze yeye nafasi yake kwenye migogoro yako. Akipata jibu wajadiliane na mumewe. Kama bado hataridhika aondoke mchana kweupe sio kwa kujificha.

Na kwa nini umedhani kuwa mmewe alimwoa kwa ajili ya kupata mkopo bank? Is she a banker?

Back
Top Bottom