snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Attention seeking personality disoder
Tena ni ugonjwa kama kichaa.
kweli kabisa!
af nyie wengine mnakuwa hata hamuelewi huyu kwani vipi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Attention seeking personality disoder
Tena ni ugonjwa kama kichaa.
Nawashukuru sana mlionipa ushauri humu mbarikiwe, nimesikia moyo wangu umepata dawa na uso wangu sasa umenyooka kwa tabasamu ninayopata, mbarikiwe nawaahidi kuyafanyia kazi na ile ya kuondoka nimeiweka miguuni maana nimeikanyaga nikipiga hatua moja mbele naiacha hapo. Pamoja sana MMU Mkunde anawapenda sana.
Fixed Point ndio alifaa kuwa mama malezi; weye mwalimu wa misosi, Da Sophy mwalimu wa sexologyenhee!af headmistress awe cacico Fixed Point awe nani hem mtafutie cheo
Hata sijui hizo latin soap operas zinafananaje, this is not a movie jamani ni true life ambayo nimepitia, its sirias issue.
Nina miaka 30, ndugu nilionao ni wa baba mtoto tuu, mimi nilizaliwa mwenyewe nimelelewa na bibi nae alishakufa baba sikumfahamu wala ndugu zake, mama aliniacha kwa bibi wakati niko mdogo na aliolewa na mjerumani wakati nasoma primary hajarudi tena hadi leo na sina mawasiliano nae. Ndugu wa baba mtoto wangu siko karibu nao maana ni familia ambayo iko busy sana na mambo ya kazi na kutafuta hela hawana muda wa kusocialise hata ukienda mtembelea kama huna appointment humuoni na ukiweka appointment ni ten minutes anakwambia nina kikao zaidi ya hapo sina wa kuongea nae.
Umeoa? Na una umri gani? Hata mimi mke wangu akienda kwao kuna saa simfuati hasa ambapo kunakuwa hakuna sababu ya msingi. Sipendi kabisa mwanamke anayezira, ni bora akazungumza tiujadiliane. Mie alienda kwao mwezi, sikumfuata wala kumwuliza, alirudi baada ya kuona mifugo(nguruwe) wake wanakonda, hamna wa kuwajali. Ile karudi tu, mie usiku nikamwambia, hebu geuka, unanichelewehsea haki yangu uliipeleka kwenu bila sababu za msingi. Nikajilipa vya mwezi mzima.
Ndio maana sie tumejivika huo ushangazi wa hiari na kumpa makavu live ya maisha, ndoa si kila siku eden. Lakini pia hatumlazimishi kubaki ndoani, anatakiwa ajichunguze yeye nafasi yake kwenye migogoro yako. Akipata jibu wajadiliane na mumewe. Kama bado hataridhika aondoke mchana kweupe sio kwa kujificha.
Na kwa nini umedhani kuwa mmewe alimwoa kwa ajili ya kupata mkopo bank? Is she a banker?
Hahahahahaha umenifurahishaenhee!af headmistress awe cacico Fixed Point awe nani hem mtafutie cheo
Sikuwezi my ndugu kwa kupanga . Myapanga aheneFixed Point ndio alifaa kuwa mama malezi; weye mwalimu wa misosi, Da Sophy mwalimu wa sexology
Mabank mengine kabla ya kukupa mkopo wa maana wanaitaji uwe kwenye ndoa.ok kaka umejibu vizuri aliporudi tu usiku huo huo ukadai haki yako ya ndoa pengine hilo nalo lilimrudisha,
,lakin according to mkunde kama nimemuelewa vizuri mshikaji hana muda hata na tunda,hakuna kujaliwa na hakuna haki ya ndoa,
amekwisha kili hapa baada ya bibi yake kufa alitegemea mmuwe ndio awe mtu wake wa karibu na kukumbuka wanawake hawaingii kwenye ndoa kufata tendo pekee yake wao hasa wanaingia kujenga mahusiano ya kawaida kabisa.sipuuzi juhudi zenu za kunusuru ndoa yake lakin nataka muangalie pia katika picha kubwa.pengine anaweza kuamua kubaki lakin akaamua ampe mwanaume mwingine nafasi ambaye pengine anajua kucare na anajua kutengeneza mahusiano pia.kama mume au mke wako ahawezi kufikia level yakuwa rafk yako wakwanza kabsa naamin ndoa inahatari ya kuingiliwa na kijidudu cha mtu wa tatu na wanne
Nisaidie mdada kuniombea msamaha kwa mama katotoo...mwenzio walau nisikilizwe tu!!!
Sikuwezi my ndugu kwa kupanga . Myapanga ahene
Fixed Point ndio alifaa kuwa mama malezi; weye mwalimu wa misosi, Da Sophy mwalimu wa sexology
Usije ukawa umeng'ang'ana na kufunga wakati shida ipo kwenye tabia zako... JIKAGUE NA UJUWE ANAPENDA/HAPENDI NINI NA WEWE UMWELEZE UNACHOPENDA NA USICHOKIPENDAKila jumatatu na alhamis huwa nafunga na kufanya maombi ya faragha kwa ajili ya ndoa yangu huu mwaka wa 4 sasa.
ahahahahhah hakyamama sikuwahi kujua wananyamwezi mmeniwekea charm namna hii!ne mpanga ilumbu lyane.
Nimeipenda avatar yako mpya, ofcourse na ya zamani ni nzuri pia.
Asante dear, Huyu dada huwa nampenda sana na huwa nasoma vitabu vyake.ne mpanga ilumbu lyane.
Nimeipenda avatar yako mpya, ofcourse na ya zamani ni nzuri pia.
Mimi ni hafu kasti wa kisukuma na kinyamwezi. Ngoja jamani tukupe asali kabisaaaaahahahahhah hakyamama sikuwahi kujua wananyamwezi mmeniwekea charm namna hii!
ujue Ablessed nilikuwa namzimikia tu siku nying sikujua kuwa ni mnyamwezi!
ehhhehehehheh yu guys niwekeeni maji kidgo basi!hamnitedei haki kwa kweli!
Mmewe ni bonge ya hardcore hana kabisa hii sifa ya kumbembeleza hivi,mwanaume atakayejibu kigumu gumu hapa ndio tunaweza kumdhania