Hata mimi nilishangaa unaniagia huku laazizi, sasa turudi kanisani kule tulipokutana wakati tuna hofu ya mungu tukamweleze shetani ameshaiteka ndoa yetu ili tupewe faraja na kuirudisha ndoa yetu iliyoshuhudiwa na mungu, malaika na binadamu wenye sura na mfano wa mungu. Tafadhali usisahau tuwahi mapema ili tuonane na wachungaji wetu wa kiroho na pia uende kwa mama nanii msimamizi wa ndoa yetu nami naenda kwa baba nanii ili nao wawepo.
kufanya utani kwenye shuhuli ya mwenzio masihara hayo, vile tuu mie sijui kugombana wala ingekuwa baba mtoto wangu angeshakukata mitama. Punguza utani mwenzio niko siriasi.
Hivi kweli hujaelewa anachojaribu kukwambia huyu bwana hapo juu??!!