Nilikupenda sana...

We nenda tu,ila usichukue kitu ambacho sio chako humo ndani.
 
Naomba kujua hii mistari ilikuwa kwenye nyimbo ipi? Ukiacha ile remix kati ya mack d ft mr paul. Nataka original yake aloimba niitafute please jamani

Sikumbuki nani aliimba huu wimbo mara ya kwanza labda humu watusaidie.
 
We nenda tu,ila usichukue kitu ambacho sio chako humo ndani.

Sina shida na ambacho si changu, kama ni mbegu ntaiacha najua langu ni yai tuu ndo ntakalolibeba.
Vingine vyote naviacha naenda anza upya.
 
Naomba kujua hii mistari ilikuwa kwenye nyimbo ipi? Ukiacha ile remix kati ya mack d ft mr paul. Nataka original yake aloimba niitafute please jamani

Nilikupenda sana - Western Jazz

Natafuta mtoto (na mama yake). Njoo tulee pamoja.

Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…