Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
na hii picha ni yako? soko linaweza kupanda mara moja.
aringe!??
ila Mkunde Original..kwani yeye alikuja kukuchumbia hapa jamvini au!??
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hii picha ni yako? soko linaweza kupanda mara moja.
nahisi kuna mtu alikutana na mtu love connect,wakaoana MMU,wakapata mtoto JF doctors,sa hz karudi MMU kuleta matokeo!Watakuwa na laborer room, una uchungu?
Niko full equiped na mikazi, bisibisi, koleo and the like.
pole jaman.....
Mbona umekuja kuniagia huku wakati tulikutana Facebook, tafadhali rudi kule ukaniage kama tulivyokutana na kuitana sweat heart lotion. Ukifika uendako unijulishe na ikiwezekana ubadili ID ili upate wa huku pia......tehe, tehe, teheeeeeeeeeeeeeeeee utaniwiiiiiiiiiii
Asanteee, ila mie hata tamthilia sizijui zinaanzje na kuishiaje, sikumbuki mara ya mwisho nilishika remote ya tv lini. ID yangu si fake na kwa kuwa yuko humu akiisoma atajua tu ni yeye ndo mlengwa. Hatukukutana humu ila kutokana na anakoshinda ndo nimempelekea taarifa yake kwa njia hii.
nenda mwaya warithi wapo watamlea
na hii picha ni yako? soko linaweza kupanda mara moja.
nahisi kuna mtu alikutana na mtu love connect,wakaoana MMU,wakapata mtoto JF doctors,sa hz karudi MMU kuleta matokeo!
BTW hv kina Paw si waweke na VIBUTI forum!
natamanigi mimi!
yani ingekuwa raha sana!
Hapa JF ndio atakujibu sasa!!!!!
Thank GOD the father of my kid is CARING......,
POLE mwaya.......,
Naomba kwa sasa niweke jibu kapuni kwa maslahi yangu binafsi na baba mtoto, ila ikilazimu ntalijibu.
Itakuwa ulikutana an Mkunde mwingine ila sio mie, mi nilikutanana na baba watoto kanisani tulikuwa wote wahudhuriaji wa misa ya kwanza na tunakaa benchi lilelile kila jumapili na tulikuwa tunawahi kabla ya ibada kuanza. Baada ya kuoana maisha yalibadilika sana.
Ndio ujue hiyo ndoa ilikuwa ICU kitambo.hata mawasiliano ya Simu hamna umpe ujumbe wake!!!!!!!!.....
Pole mamy.Itakuwa ulikutana an Mkunde mwingine ila sio mie, mi nilikutanana na baba watoto kanisani tulikuwa wote wahudhuriaji wa misa ya kwanza na tunakaa benchi lilelile kila jumapili na tulikuwa tunawahi kabla ya ibada kuanza. Baada ya kuoana maisha yalibadilika sana.
Mpe cha mwisho kwanza cha kuagana ............!
:tape: :love: