Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Si vibaya tukawa tunashare stori za hapa na pale. Zinatuwezesha kujifunza lakini pia kutupa Burudani.
Mwezi uliopita nikiwa katika Mishe mishe zangu nza kusaka Maisha nikiwa nimebeba mafaili ya No Reform, Poor Election.
Basi nikakutana na Dada Mzuri tu alikuwa kavaa Baibui, Mweupe Kiasi.
Pale pembeni walikuwepo Wanawake wengine wawili wanaonekana na umri under 30.
Kwa kuwa nilikuwa pia mawindoni Bi Dada alinielewa nilichoniweka pale. Japo nilikuwa nimepita kuweka Oild Tumboni Nipate Fuele ya Energy.
Dada nikamsalimia maongezi hakaendelea. Alikuwa mzuri kiasi hana baya.
Basi wale wadada wengine wakaondoka, mhudumu akajisemea mbona hao wadada wanaongea stori chafilu chafu tu? Dada huyu ambayw kashkua rafiki akadakia, Wanajiuza hao. Hawana Lolote ni Malaya tu.
Nami sikuacha stori iendelee hivi hivi, nikasema mbona wazuri hao na tena bado wadogo wanashida gani?
Dada Rafiki Yangu akasema, wanahangaika tu hata mimi nilifanya sana hizo kazi. Na wao watachoka tu wataziacha. Hazina faida zaidi ya kuchoka tu na kudhalilisha utu wako.
Unasikia Kaka? Mimi Eeh? Yaani enzi zangu mimi usinione hivi hizo kazi nimefanya sana.
Nilikuwa Mkoa wa Mtwara, kule nilikuwa nalala na vichwa hata 10 kwa usiku mmoja. Asubuhi natoka na maumivu sana. Tena afadhali kama umetumka kondomu i a mafuta mafuta. Lakini Nyama kwa nyama inauma sana.
Kuna Wakati unakutana na Mwanaume ana siku nyingi hajafanya harafu anataka nyama kwa nyama aisee....inauma sana.
Mipango yangu kichwani ya mawindo ilikata ghafla kama umeme wa Tanesco. Kidudu kilisinyaa, nikajawa na mawazo kichwani. Huku niki imagine inawezekana vipi Mwanamke kulala na wanaume 10 kwa siku?
Wakati nawaza hayo, akajisemea. " Sasa hivi nimeamua kutulia, nawaza nitampata wapi Mwanaume wa kunioa, Heri Niolewe tu na mimi nipate wangu. Maisha magumu.
Aisee.
Kama ni Wewe ungefanyaje hapo?
Nawasilisha
À Bion̈tot, bonjournée