Nilikutana na Mdada anayekula vichwa 10 kwa usiku mmoja, alisema nyama kwa nyama inauma sana.

Pole yamekukuta mzee baba, mshukuru Mungu umejua mapema else ungetongoza bomu la nuclear na matatizo yangekukuta mbeleni makubwa mno

Yaani huyo ni dashboard imemaliza number, sasa hivi wamengโ€™oa kabisa na dashboard .

Wanaume wawe makini haya mambo yako sana haswa mikoa ya huko na pwani
 
Yeah uzuri Mungu ametuwekea kikomo. Hata ukioa Bikra ni wiki moja tu inaisha. Haidumu
Haiishi kwa wewe tu pekee, ila unayoyafanya wewe yote nae atayafanya๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ... Kama unabisha wewe nenda kamfuatilie kwa ukaribu yule msichana ambae ukiwa nae unabehave tofauti sana, kwa maana Kila kitu kwake unakifanya kwa namna chanya tofauti na unavyofanyaga ukiwa na wengine, hata ukiwaza kuoa yeye ndio huwa anakuja wa kwanza kichwani mwako(huyu ndio msichana ambae anatoka kwenye kundi la wasichana ambao wako na muunganiko na wewe)

Watu wa namna hiyo wanapokutana huwa wanakua na vitu vingi in common, kwahiyo hata mambo mengi ambayo wewe utayafanya kwa siri kaa ukijua na yeye atakua anayafanya kwa siri.

Kama huwa unatabia ya kuchat na kufuta ili usikamatwe, Kaa ukijua na yeye huwa anachat na kufuta ili usimkamate.

Pindi utakapoamua embu ngoja niache zangu ujinga nitulie nae ataamua hivyo hivyo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Hata idadi ya wanawake ambao wewe umetembea nao huwa haipishani sana na idadi ya wanaume ambao yeye ametembea nao au ambao atatembea nao ili kuufanya ule mzani ukae sawa kwa maana ya ile perfect combo iwe solidified ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
 
Ona Sasa kazunguka weee then fainal anataka mtu wa kutulia naye afanye naye maisha. Unakuta kweli anatulia vizuri tu ndo hivyo ameenda KM nyingi sana kiasi ambacho ni gundu tu zimejaa.
 
Dah mbona unasema ukweli mkuu๐Ÿ˜€
 
Ona Sasa kazunguka weee then fainal anataka mtu wa kutulia naye afanye naye maisha. Unakuta kweli anatulia vizuri tu ndo hivyo ameenda KM nyingi sana kiasi ambacho ni gundu tu zimejaa.
Hahaha.....aliamua kula mapema
 
Hata idadi ya wanawake ambao wewe umetembea nao huwa haipishani sana na idadi ya wanaume ambao yeye ametembea nao au ambao atatembea nao ili kuufanya ule mzani ukae sawa kwa maana ya ile perfect combo iwe solidified ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
We jamaa usitutishee๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Vichwa 10 kwa siku ni kawaida sana kwa hawa dada poa hususan asipopata sleepover

Nakumbuka kuna kipindi nipo chuo, mwaka wa pili semester ya mwisho na mwaka wa tatu nilikua navusha Sketi mpaka 3 kwa siku [almost 15 kwa wiki] aisee ilifikia kipindi nilichoka mpaka ilikua nikitembea road naonekana kama mlevi, nikiingia venue au group discussion niponipo tu kama Zoba sielewi kitu

Nilipokua nakaa kulikua na daktari mmoja (ajira mpya lakini age mate) ndo tulikua tunashindana kuvusha aisee jamaa alikua anapenda sketi yule Dunia nzima sijapata kuona, niliamua kusurrender. Kwa hesabu ya kawaida jamaa kwa wiki analaza zaidi ya 20.

Mimi nilifanikiwa kuacha iyo michezo baada ya kugraduate ila jamaa angu ndo dini yake mpaka keshokutwa.
 
Sounds like joke but serious
 
๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ