Kiswahili chenywe mchanganyiko wa lugha nyingi kiasi kwamba hakuna nayekimiliki. Na zaidi, Kiswahili mnacho andika nyie Wabongo inaonyesha bado hata hamkielewi. hebu pitia JF yote.
Lugha inapokushinda kuelewa hufai kuitukana maana kuna wale huitumia kila siku. Tatizo lenyu ni kuwa wafungwa wa lugha moja tangu utotoni kiasi hamna uhuru wa ubunifu na kuwaonea kinyongo walio huru. Sheng imebuniwa kwa kuchanganya Kingereza, Kiswahili na lugha zetu za asilia. Kama tu vile Kiswahili kilibuniwa kwa kuchanganya lugha zetu za asilia na Kiarabu na hata lugha kadhaa zaidi tokea ulaya.kwa hiyo hiyo lugha chafu mnayoita sheng ndiyo kiswahili??!!!
Kiswahili chenywe mchanganyiko wa lugha nyingi kiasi kwamba hakuna nayekimiliki. Na zaidi, Kiswahili mnacho andika nyie Wabongo inaonyesha bado hata hamkielewi. hebu pitia JF yote.
Wenye kiswahili safi katika hii Kenya kama coastal area ndio,,
kimaendeleo,,, wako nyuma ya wale hata kukitamka kiswahili
chenyewe ni shida.
Sasa,,maana ngani kuongea lugha safi mbali unaenda kulala
na,,,njaa.
kwa hiyo umasikini wa coastal area umetokana na wakaazi wa huko kuzungumza kiswahili?.
The point is, the language you speak is of no importance to your well being. Languages are used for communication and it doesn't matter what language you use provided you communicate. We don't understand why you guys make language such a big deal
you haven't answered my question.
is swahili language the source of poverty in coastal area?
The point is, the language you speak is of no importance to your well being. Languages are used for communication and it doesn't matter what language you use provided you communicate. We don't understand
why you guys make language such a big deal
you haven't answered my question.
is swahili language the source of poverty in coastal area?
i say,,,no Kiswahili isn't the source of the problem
sheng....mchanganyiko wa eti kiswahili, kiinglish na lugha zao za asili na za kihuni. Ndiyo sababu watiti wao wanafeli sana kila mwaka mitihani ya lugha-kiingereza na kiswahili.
Bwana mdogo jibu hoja na sio kuleta lugha zako chafu hapa. Btw, doesn't your mom have an asshole?And what does it concern you if we speak sheng' or any other language chimp? Kenya outperform Tanzanians in Swahili,a well known fact, and more, schools in mainland Kenya perform far much better than those of coast.So get your shit right you asshole.
Kweli kabisa mkuu Mimi nipo huku nikienda huko wananiacha hoiNikiwa kama Mtz nilipata bahati kufika Nakirobi na nilikuwa huko kwa muda wa Mwezi mmoja! Kitu kikubwa kilichonishangaza ni kwamba Kenya au nisema Nairobi kuna Watu wengi sana hakuna Lugha wanayoijua kwa kwa ufasaha, yaani kuna Watu hawawezi kuongea Kiswahili chote kwa ufasaha, pia hawawezi kuongea kiingereza chote kwa ufasaha na cha ajabu kabisa pia hawawezi kuongea vilugha vya kikwao kama kijaluo au sijui Kikuyu pia kwa Ufasaha, hili kwangu mimi ilikuwa ni Culture shock! Sasa hawa watu wanaongea Lugha Gani kwa ufasaha kabisa na kwa umahili?
And what does it concern you if we speak sheng' or any other language chimp? .
Nikiwa kama Mtz nilipata bahati kufika Nairobi na nilikuwa huko kwa muda wa Mwezi mmoja! Kitu kikubwa kilichonishangaza ni kwamba Kenya au nisema Nairobi kuna Watu wengi sana hakuna Lugha wanayoijua kwa kwa ufasaha, yaani kuna Watu hawawezi kuongea Kiswahili chote kwa ufasaha, pia hawawezi kuongea kiingereza chote kwa ufasaha na cha ajabu kabisa pia hawawezi kuongea vilugha vya kikwao kama kijaluo au sijui Kikuyu pia kwa Ufasaha, hili kwangu mimi ilikuwa ni Culture shock! Sasa hawa watu wanaongea Lugha Gani kwa ufasaha kabisa na kwa umahili?
Tell them. Watu wenye ufinyu wa kufikiri ndio wanaweza kuanzisha mada za kipuuzi kama hii. Hao watanzania wanaozungumza kiswahilli wamefanya jambo lipi la maana katika dunia hii?The point is, the language you speak is of no importance to your well being. Languages are used for communication and it doesn't matter what language you use provided you communicate. We don't understand why you guys make language such a big deal
Tell them. Watu wenye ufinyu wa kufikiri ndio wanaweza kuanzisha mada za kipuuzi kama hii. Hao watanzania wanaozungumza kiswahilli wamefanya jambo lipi la maana katika dunia hii?
kuwa na