Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
Kiswahili chenywe mchanganyiko wa lugha nyingi kiasi kwamba hakuna nayekimiliki. Na zaidi, Kiswahili mnacho andika nyie Wabongo inaonyesha bado hata hamkielewi. hebu pitia JF yote.
kwa hiyo hiyo lugha chafu mnayoita sheng ndiyo kiswahili??!!!