Nilikuwa Kenya, Culture Shock!

Nilikuwa Kenya, Culture Shock!

Kiswahili chenywe mchanganyiko wa lugha nyingi kiasi kwamba hakuna nayekimiliki. Na zaidi, Kiswahili mnacho andika nyie Wabongo inaonyesha bado hata hamkielewi. hebu pitia JF yote.

kwa hiyo hiyo lugha chafu mnayoita sheng ndiyo kiswahili??!!!
 
kwa hiyo hiyo lugha chafu mnayoita sheng ndiyo kiswahili??!!!
Lugha inapokushinda kuelewa hufai kuitukana maana kuna wale huitumia kila siku. Tatizo lenyu ni kuwa wafungwa wa lugha moja tangu utotoni kiasi hamna uhuru wa ubunifu na kuwaonea kinyongo walio huru. Sheng imebuniwa kwa kuchanganya Kingereza, Kiswahili na lugha zetu za asilia. Kama tu vile Kiswahili kilibuniwa kwa kuchanganya lugha zetu za asilia na Kiarabu na hata lugha kadhaa zaidi tokea ulaya.
 
Kiswahili chenywe mchanganyiko wa lugha nyingi kiasi kwamba hakuna nayekimiliki. Na zaidi, Kiswahili mnacho andika nyie Wabongo inaonyesha bado hata hamkielewi. hebu pitia JF yote.

hata hivyo ktk wakenya wanaondika kiswahili kizuri jf wewe unajitahidi.kwa hili acha nikusifie mkuu.bila shaka uliishi vizuri na wabongo ulipo kuwa tz.kuna wale jamaa zenu wanaishi tz wakiwa wana behave as if they're so special than their host plus na kale katabia ka u-selfishness wa kikenya.wanaondoka tz wakiwa hawaja acha hata marafiki bali maadui.
 
Wenye kiswahili safi katika hii Kenya kama coastal area ndio,,
kimaendeleo,,, wako nyuma ya wale hata kukitamka kiswahili
chenyewe ni shida.

Sasa,,maana ngani kuongea lugha safi mbali unaenda kulala
na,,,njaa.

kwa hiyo umasikini wa coastal area umetokana na wakaazi wa huko kuzungumza kiswahili?.
 
kwa hiyo umasikini wa coastal area umetokana na wakaazi wa huko kuzungumza kiswahili?.

The point is, the language you speak is of no importance to your well being. Languages are used for communication and it doesn't matter what language you use provided you communicate. We don't understand why you guys make language such a big deal
 
you haven't answered my question.
is swahili language the source of poverty in coastal area?
 
you haven't answered my question.
is swahili language the source of poverty in coastal area?

The point is, the language you speak is of no importance to your well being. Languages are used for communication and it doesn't matter what language you use provided you communicate. We don't understand
why you guys make language such a big deal

NairobiWalker just said the way i would have,,,,,,but if you want it your way,,,
i say,,,no Kiswahili isn't the source of the problem but also it is not solving
their problems there.

So it does not matter how good you speak your language or any but
how you live.
 
Wengi wanashindwa kutambua kuwa kiswahili cha bongo ni lahaja moja tu wala sio kigezo cha usanifu wenyewe, tena umuhimu wa lugha yoyote ni mawasiliano; hilo likitimika umahiri au ufasaha achia wahenga na malenga.
 
sheng....mchanganyiko wa eti kiswahili, kiinglish na lugha zao za asili na za kihuni. Ndiyo sababu watiti wao wanafeli sana kila mwaka mitihani ya lugha-kiingereza na kiswahili.

And what does it concern you if we speak sheng' or any other language chimp? Kenya outperform Tanzanians in Swahili,a well known fact, and more, schools in mainland Kenya perform far much better than those of coast.So get your shit right you asshole.
 
Bwana mdogo jibu hoja na sio kuleta lugha zako chafu hapa. Btw, doesn't your mom have an asshole?
 
Nikiwa kama Mtz nilipata bahati kufika Nakirobi na nilikuwa huko kwa muda wa Mwezi mmoja! Kitu kikubwa kilichonishangaza ni kwamba Kenya au nisema Nairobi kuna Watu wengi sana hakuna Lugha wanayoijua kwa kwa ufasaha, yaani kuna Watu hawawezi kuongea Kiswahili chote kwa ufasaha, pia hawawezi kuongea kiingereza chote kwa ufasaha na cha ajabu kabisa pia hawawezi kuongea vilugha vya kikwao kama kijaluo au sijui Kikuyu pia kwa Ufasaha, hili kwangu mimi ilikuwa ni Culture shock! Sasa hawa watu wanaongea Lugha Gani kwa ufasaha kabisa na kwa umahili?
Kweli kabisa mkuu Mimi nipo huku nikienda huko wananiacha hoi
 
And what does it concern you if we speak sheng' or any other language chimp? .

it's quite evident that some racist white people do consider all black africans as chimps.
now for a black to call his fellow a chimp it implies that he has hurled the same insult to the entire member of his family including himself,his father,mother,brother,sister etc. all of them look and behave like chimps.
so next time try to be a positive thinker atleast for one second bofore you post anything stupid
sawa sawa bwana mdogo.
 
Nikiwa kama Mtz nilipata bahati kufika Nairobi na nilikuwa huko kwa muda wa Mwezi mmoja! Kitu kikubwa kilichonishangaza ni kwamba Kenya au nisema Nairobi kuna Watu wengi sana hakuna Lugha wanayoijua kwa kwa ufasaha, yaani kuna Watu hawawezi kuongea Kiswahili chote kwa ufasaha, pia hawawezi kuongea kiingereza chote kwa ufasaha na cha ajabu kabisa pia hawawezi kuongea vilugha vya kikwao kama kijaluo au sijui Kikuyu pia kwa Ufasaha, hili kwangu mimi ilikuwa ni Culture shock! Sasa hawa watu wanaongea Lugha Gani kwa ufasaha kabisa na kwa umahili?

una maana gani unapoandika Umahili. Inawezekana na wewe pia una matatizo uliyoyaona hapo kenya
 
The point is, the language you speak is of no importance to your well being. Languages are used for communication and it doesn't matter what language you use provided you communicate. We don't understand why you guys make language such a big deal
Tell them. Watu wenye ufinyu wa kufikiri ndio wanaweza kuanzisha mada za kipuuzi kama hii. Hao watanzania wanaozungumza kiswahilli wamefanya jambo lipi la maana katika dunia hii?

mbaya zaidi hawana dress code nzuri, wanapenda sana kuvaa masweta na makoti,
 
Tell them. Watu wenye ufinyu wa kufikiri ndio wanaweza kuanzisha mada za kipuuzi kama hii. Hao watanzania wanaozungumza kiswahilli wamefanya jambo lipi la maana katika dunia hii?
kuwa na

kuwa na lugha inayotambulika kimataifa ni hatua kubwa sana kimaendeleo, kama ulikua hujui au umeamua kujifanya hujui ujupe matumaini ya muda mfupi, huoni hao waingereza wnavyojivuni lugha yao kutumika dunia nzima, lugha huenda na tmaduni hivyo kusambaa kwa lugha pia ni kusambaa kwa tamaduni za jamii husika
 
Nikiwa kama Mtz nilipata bahati kufika Nairobi na nilikuwa huko kwa muda wa Mwezi mmoja! Kitu kikubwa kilichonishangaza ni kwamba Kenya au nisema Nairobi kuna Watu wengi sana hakuna Lugha wanayoijua kwa kwa ufasaha, yaani kuna Watu hawawezi kuongea Kiswahili chote kwa ufasaha, pia hawawezi kuongea kiingereza chote kwa ufasaha na cha ajabu kabisa pia hawawezi kuongea vilugha vya kikwao kama kijaluo au sijui Kikuyu pia kwa Ufasaha, hili kwangu mimi ilikuwa ni Culture shock! Sasa hawa watu wanaongea Lugha Gani kwa ufasaha kabisa na kwa umahili?

Mkuu, inategemea ulienda sehem gani ya Nairobi, Kama uliingia Kibera, basi pole sana bhana.
 
Back
Top Bottom