Nilikuwa mbishi lakini nimekubali Iran ndiyo mbabe wa Middle East na Dunia kwa ujuma, hakuna cha USA, China wala Russia

Nilikuwa mbishi lakini nimekubali Iran ndiyo mbabe wa Middle East na Dunia kwa ujuma, hakuna cha USA, China wala Russia

Ndivyo unavyojidanganya??
Kama Iran angetaka kushambulia angetumia Hypersonic missiles zenye ujazo mia tu.
Ila mpaka anatuma kamikaze drone zinazotembea kwa mwendo taratibu hakutaka further escalation.
Iran unayemdharau eti hana nguvu watu wanayodhania ndiye aliyeipa nguvu Houthi ikasimama dhidi ya Saudi Arabia iliyokua ikisaidiwa na USA kwa miaka 14.
Next time muongee facts.
Viongee vitendo.Hypersonics za uvunguni?
 
Asilimia kubwa ya wanashangilia vita humu,

Hawajui hata kutumia mshale!!
 
Viongee vitendo.Hypersonics za uvunguni?
-Silaha anazotumia Hizbollah ndizo anazounda Iran,je hazikuleta madhara mpakani na Israel na kulipua kambi mbili za jeshi?
-Houthi wanatumia silaha anazounda Iran je hazikuleta madhara zidi ya Saudi Arabia?
 
-Silaha anazotumia Hizbollah ndizo anazounda Iran,je hazikuleta madhara mpakani na Israel na kulipua kambi mbili za jeshi?
-Houthi wanatumia silaha anazounda Iran je hazikuleta madhara zidi ya Saudi Arabia?
Halafu Israeli ikafutika?
 
Wairan walitoa taarifa kwa nchi za kiarabu kuwa drones zao zitapita ktk airspace zao, wakatoa taarifa kwa wamarekani masaaa 72 mapema kuwa watapiga. Wakawapa nafasi Wamarekani kujiandaa. Halafu leo wanashangilia eti wamefanikiwa kuidhibiti Irani.

Iran ilitaka minimum hits tu kwenye targets ili kulipa kisasi na imefanikiwa., haikutaka hii show iwe kubwa kivile ndiyo maana iliwaengage wadau. Kama ingetaka kufnya uharibifu isingetoa taarifa, ingetuma njugu mapema kabisa bila kutoa taarifa za kuwafanya hawa jamaa wajiandae.

Usisahau.
1. Meli ya Israel ipo mikononi mwa Iran sasa hivi
2. Kuna ndege ya mizigo ya Israel ilikuwa kwenye uwanja wa kijeshi huko Israel imeharibiwa na missiles za Iran
3. Iran imepiga Jengo la Intelijensia huko Israel
 
Usicho kijua Iran ametumika kama chambo tu maana UN imeshindwa kumchukulia hatua Israel Kwa makosa ya uhalifu ya kivita inayofanya Gaza na Syria baada ya ubalozi wa Iran kulipuliwa UN haikuchukua hatua yoyote ndio maana Iran ilitoa mpka mda na siku ya kurusha makombora Israel haielewi ipigane vita ipi maana Lebanon kumeanza kuchafuka mpkani mwa Israel baada drone za Israel kuuwa walebanoni wa 2 , ukija gaza napo hakuja poa bado vita ipo ya kimya kimya, ukienda Egypt bado wanaugomvi ila sio open ni WA kidiplomat nchi pekee Jiran wa Israel ni Jordan pekee ila kiufupi imezungukwa na maadui wengi Kwa sababu ya ubabe wap na support wanayopata USA na Uingereza ila hii vita akijichanganya tu . Itakuwa mengine ila tusiombe dunia ya vita mungu awape busara ya kuepusha hii vita
 

Attachments

  • Screenshot_20240416-202848~2.png
    Screenshot_20240416-202848~2.png
    405.8 KB · Views: 2
Halafu Israeli ikafutika?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Aiseee mbona unahama hama mzee!?
Ninyi si mlidai Iran ana mapipa hana makombora!?
Nimekuuliza silaha wanazotumia Yemen na Lebanon ni za Iran,je hazikuleta madhara!?
Jibu ndio au hapana au jibu hata kwa insha/essay.
Huna jibu wacha nikuache.
 
Back
Top Bottom