Nilikuwa na hamu kubwa lakini ile najaribu tu ikawa utambi😭😭

Pole sana mkuu.
Kuna sababu nyingi zinazoweza kupelekea shida kama hiyo.
Muhim jitahidi sana kufanya mazoezi ya kegel ya kutosha, kunywa maji yenye uwiano mzuri kwa afya yako,punguza stress take easy pia jitahidi upate mda wa kupumzika at least masaa nane ya kusinzia.
 
Asante mkuu nikafikiri ni tatizokidogo nikarafute mkongo
 
Shida ni kwamba mwenzako alikuja mfanye mapenzi, wewe ukadhani kaja ili mjamiiane. Kwa kifupi wewe ulikuwa una jamiiana na huyo demu na haukuwa unafanya nae mapenzi.
 
Shida ni kwamba mwenzako alikuja mfanye mapenzi, wewe ukadhani kaja ili mjamiiane. Kwa kifupi wewe ulikuwa una jamiiana na huyo demu na haukuwa unafanya nae mapenzi.
sawa ngoja nikafanye mapenzi
 
Njoo PM nikuuzie vumbi la Congo
 
ACHA PURI (PUNYETO MBAYA SANA)
 
A theory of use and disuse

Kiungo kitakuwa imara na kuwepo kama kitatumika,lakini kiungo kitakuwa dhaifu na kupotea kama hakitumiki.
Kama umekaa muda mrefu hiyo ndo sababu.
Yaan "environment creat new need, and the new need determine the use and disuse of some body parts, the used part become strong and disused part become weak and sometimes perished"
 
Na zawadi ilikuwa ni tigoism?
 
Huyo mwanamke ni mchawi, achana naye atakusumbua. Tafuta pisi nyingine mkuu.
 
Mwanaume rijali bao la kwanza lisiwe chini ya dakika 30.

We jamaa unaonekana Ni mpiga nyeto mzuri Sana ndo maana unawahi kushusha wazungu.

Acha/ punguza nyeto
Fanya mazoezi
Kunywa maji ya kutosha yatakayosaidia kusukuma damu mwilini
Usiwe unapania Sana mchezo,just relax
Jifunze ku- control mindset yako wakati wa tendo,usiweke akili zako zote Kwenye tendo,hii itakusaidia kutowahi kileleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…