Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Dah umenikumbusha doct NellyA theory of use and disuse
Kiungo kitakuwa imara na kuwepo kama kitatumika,lakini kiungo kitakuwa dhaifu na kupotea kama hakitumiki.
Kama umekaa muda mrefu hiyo ndo sababu.
Anyway mazoez n muhmu pamoja na kutumia kiungo chake maana nayo ni sehemu ya mazoezi.