Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Mdada mmoja alikuwa anauza kibanda cha chips, alinivutia na nilikuwa na mpango wa kumtongoza, kabla sijamtongoza nlimpa Tsh. elfu 2 anipe chips za buku jero.
Chenji ya jero akanipiga kwa kuniambia anaenda nunua ule mfuko mmoja mweupe mdogo wa plastiki duka la jirani, wakati kiuhalisia hiyo mifuko haiuzwagi mmoja mmoja. Kichwani nikaona hapa hamna mtu!
Huyu mdada mwingine anauza canteen, kila nikienda pale kuchukua wali nyama ananiwekea vinyango vitatu, wakati wahudumu wengine wananiwekea vinyango vinne, mmh nkahairisha zoezi la kumtongoza.
Baadhi humu mnaweza nicheka kusema najali vitu vidogo, lakini ishara ndogo kama hizi, badae huenda ni ishara ya majanga makubwa huko mbeleni.