Nilikuwa na nia ya kuwatongoza, nimewapima kwa vitu vidogo sana wamefeli

Mdada mmoja alikuwa anauza kibanda cha chips, alinivutia na nilikuwa na mpango wa kumtongoza, kabla sijamtongoza nlimpa Tsh. elfu 2 anipe chips za buku jero.

Chenji ya jero akanipiga kwa kuniambia anaenda nunua ule mfuko mmoja mweupe mdogo wa plastiki duka la jirani, wakati kiuhalisia hiyo mifuko haiuzwagi mmoja mmoja. Kichwani nikaona hapa hamna mtu!

Huyu mdada mwingine anauza canteen, kila nikienda pale kuchukua wali nyama ananiwekea vinyango vitatu, wakati wahudumu wengine wananiwekea vinyango vinne, mmh nkahairisha zoezi la kumtongoza.

Baadhi humu mnaweza nicheka kusema najali vitu vidogo, lakini ishara ndogo kama hizi, badae huenda ni ishara ya majanga makubwa huko mbeleni.
Unatafuta msichana wa kuoa?
 
Wanajamvi...MTU akikutengenezea mazingira ya kuachana kwa sababu kwa sababu anaona umefulia unapanguaje hii gia..maana Hawa viumbe Hawa nikweli Kama babu alivyoniambia..wapo kimaslahi..
 
Mfano, Huyo wa jero alikuwa na sababu gani ya kunidanganya ili anipige tshs 500, wakati hajishugulishi na biashara yoyote, kula na kulala yake anapewa na wazazi, hata hicho kibanda cha chips ni cha mama yake

Weka Swala la kupendelea jinsia yako pembeni, tumia haki na logic kuhukumu, ukichunguza vizuri utagundua hao mabinti wana matatizo makubwa zaidi Eg tabia ya tamaa ya pesa iliopitiliza, uongo, utapeli, wizi, kutokua na hisia za mapenzi na mimi, Roho mbaya, uchoyo etc Beesmom
Huyu kichwa kilisha hatibiwa hawezi kukuelewa
 
Wanajamvi...MTU akikutengenezea mazingira ya kuachana kwa sababu kwa sababu anaona umefulia unapanguaje hii gia..maana Hawa viumbe Hawa nikweli Kama babu alivyoniambia..wapo kimaslahi..
tafuta pesa ili upangue hyo gia....😀
 
Mdada mmoja alikuwa anauza kibanda cha chips, alinivutia na nilikuwa na mpango wa kumtongoza, kabla sijamtongoza nlimpa Tsh. elfu 2 anipe chips za buku jero.

Chenji ya jero akanipiga kwa kuniambia anaenda nunua ule mfuko mmoja mweupe mdogo wa plastiki duka la jirani, wakati kiuhalisia hiyo mifuko haiuzwagi mmoja mmoja. Kichwani nikaona hapa hamna mtu!

Huyu mdada mwingine anauza canteen, kila nikienda pale kuchukua wali nyama ananiwekea vinyango vitatu, wakati wahudumu wengine wananiwekea vinyango vinne, mmh nkahairisha zoezi la kumtongoza.

Baadhi humu mnaweza nicheka kusema najali vitu vidogo, lakini ishara ndogo kama hizi, badae huenda ni ishara ya majanga makubwa huko mbeleni.
Mkuu😂😂
 
Uko sahihi
 
Kuna niliyemuomba number akanipa ya halotel, nikamtongoza ghafla akaniomba vocha ya tigo nikamuambia anipe hiyo number ya tigo ili iwe rahisi kumuungia bundle moja kwa moja, akagoma kwa madai kuwa sipaswi kuwa na number zake zote. Nikaona isiwe kesi hata hii moja aliyonipa sipaswi kuwa nayo. Nikaifuta
Hahahahahahaha ww noma ulimpatia saNa haPo
 
Mtoa uzi please njoo huku Lingusenguse, nikupe udongo ili ufinyange mwenyewe unayemtaka kumtongoza!!
 
Mfano, Huyo wa jero alikuwa na sababu gani ya kunidanganya ili anipige tshs 500, wakati hajishugulishi na biashara yoyote, kula na kulala yake anapewa na wazazi, hata hicho kibanda cha chips ni cha mama yake

Weka Swala la kupendelea jinsia yako pembeni, tumia haki na logic kuhukumu, ukichunguza vizuri utagundua hao mabinti wana matatizo makubwa zaidi Eg tabia ya tamaa ya pesa iliopitiliza, uongo, utapeli, wizi, kutokua na hisia za mapenzi na mimi, Roho mbaya, uchoyo etc Beesmom
Copy hii weka juu hapo kwa chini ya uzi wako!
 
Back
Top Bottom