Nilikuwa naikubali Israel kwenye cyber security, kumbe wachovu tu mbele ya Iran

Sijawahi kuona pambano la ngumi ambalo linaisha raundi ya 12 wewe mbabe usirushiwe hata ngumi moja hadi raundi ya nne
Ni kweli lakini hii ni chemba ya kidevu, lazima ukae, subiri mrudiano
 
Kuna sehemu muhimu umeacha, ungeeleza pia namna Israel alivyohack mifumo ya Iran na hata kusababisha milipuko kwenye vinu vyake vya nuclear.
 
Nyetanahu karudia jana kusisitiza kuwa hawezi kuiruhusu Iran kutengeneza bomu la nuclear. Mengi yanakuja.
 
Rouhani bado ana ndoto ya kulipiza kisasi can kuuwaw kwa kamanda wake
Ushawahi kumuona hadharani?? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

anaishi kama panya kwenye shimo akiogopa kutunguliwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Israel na mataifa mengi makubwa sio wajinga, watabadili plan fastafasta ninyi mkidhani bado wapo kule wakishajua Kuna shambulio flash zote zinaformatiwa wanaanza upyaaaaa!
 
Hii michezo naipenda sana nasikia Kagame Kaunda kikosi kazi cha kucheza hii michezo anasubiri siku akichokozwa alianzishe sijui kama tutamuweza sisi ambao hata website ya brela haifanyi kazi kwenye baadhi ya web browser
 
Duqu ziko version mbili iliyohatari zaidi ni duqu 1.0 nadhani ndio iliyoleta balaa.
 
Waarab walishaungana wote kumpiga Israel lakini wakashindwa, anajua tabia za waarab zilivyo ndio maana kanuni ni uwe rafiki yake au uwe adui. Kwenye hivi vita Israel aliteka Golan Heights za Syria, Syria bado hajakubali na amekuwa akitafuta namna ya kuzirudisha.
Kuhusu uwezo wa Iran ni overrated, kupiga makambi ya marekani haikuwa kipimo sahihi. Katika hali ya kawaida, ukimtendea mtu jambo baya (hata mtoto mdogo) lazima achukie na ikiwezekana alipe kisasi.
Marekani kumuua Qasim Suleiman ilijua wazi Iran italipiza kisasi ndio maana USA walivumilia vitendo hivyo.
Wiki iliyopita Iran ilikuwa inaadhimisha mwaka 1 tangu kuuliwa kwa Qasim na vyanzo vya habari vilionyesha Iran itashambulia tena kambi za Marekani.
Wakati huu Marekani hakutaka utani, katuma B52 mbili na Aircraft carrier moja, Iran katulia, alichokifanya ni waziri wake wa mambo ya nje Jawad Zariff kulalamika kwa nini marekani inaleta ndege ghali za vita eneo hilo.
Pili kuhusu Iran na Israel hawa ni wababe wawili, lolote laweza tokea hasa ukizingatia Israel ana mabomu ya nuclear iliyo tayari kufanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…