Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Sir Hemedi

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
112
Reaction score
120
Habari WanaJF,
Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana.

Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?

Ili nipate picha halisi.
Nawasilisha.
IMG-20180822-WA0000.jpg

Blogger & Trainer
 
Samahani hii ni kama imetoboka au hata kama haijatoboka inakula lita 1 km 8?
Anamaanisha kuwa, Inatumia kiasi kikubwa cha mafuta kwa KM chache,

Kwa asiyezifahamu hizi gari, Anaweza kuzani kuwa tanki labda limetoboka na lina mwaga mafuta.

Ila kiuhalisia Tangi ni zima, ila ni gari yenyewe ilivyo undwa.
 
Maximum km 30 uwe na lita walau 4.5 kwa mikoani watu wanaenda nazo kazin kila siku na wala hawapati shida katika mafuta japokuwa tofauti na kweny gar nyingine!
Changamoto itakayokukabilia mbeleni ni mchakato wa kuuza hizi gari mara nyingi zinauzwa kwa hasara otherwise ukauzie mkoani! Lastly kwa ushauri ungeanza na gari za chini cc 1200- 1790 kama ISI,spacio, roum kama hautajali nunua brevis utambe barabarani kama crown althethe
 
Ahsante sana kwa ushauri

Lazima uuze mikoani? Siku hizi mikoani wanazijua Gari sio kama zamani wewe! Tengua kauli
 
Bora ununue gari la wastani tu kama Harrier au Kluger sio Brevis halafu inakula mafuta kuliko Harrier
 
Back
Top Bottom