Sir Hemedi
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 112
- 120
- Thread starter
- #21
kilaza[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unadhani sijitambui? Hahahahahahaha we ndio unatakiwa kujitambua na huo umbumbumbu wako we gari unaona ina cc 2500 ama 3000 halafu unaulizia ulaji wa mafuta si unaonekana kabisa we ni kilaza. Unadhani wanaonunua vi baby walker vyenye cc chini ya 1500 kama ist, starlet na terios kid wanapenda? Nunua kitu kinachoendana na uwezo wako acha kufata mkumbo. Narudia tena brevis inakula kuanzia mafuta mpaka supu ya kongoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Blogger & Trainer