Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Black is the dominant colour, Safari Automotive ni nyoko kuipimp ndinga afuu bei ya kawaida tuu niliona pia kwa staff mmoja alifanya pale!...... Ngoja mambo yangu yakae vizuri nizamie wadesign kitu yangu japo nilitaka niende pale Harrish MM Masaki..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Safari hautojutia, yaap gharama zao si mbaya zinalipika na haichukui muda siku 2 tu labda sasa hivi wawe busy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kwenye taste nimekuelewa kabisa! Kila mtu na choice yake!

Sasa mimi gari ndogo ni kama unaniburuza tu chini, sipendelei kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu unaishi madongo kuinama nini hahah,nazingua.

Mimi ninapoishi mpk huko lindoni nakotafutia mkate hamna sehemu nakutana na makorongo wala kwny mishe zangu za daily,so saloon car kwangu ni poa tu.

Kipindi flani niliishi sehemu za mateso nikatafuta td5 discovery 1 maisha yakaenda fresh tu.
 
Klugger sio ya kizee ni ya vijana wa kiume makini! I love nikimuona agemate anasukuma klugger!

There you are! Vanguard ni ya wadada afuu ile gari kali kinomazz, lazima ugeuze shingo ( kwa mtunzaji lkn[emoji15] )

Ndo ndoto yako nini my shostito?

Sent using Jamii Forums mobile app
Klugger new model umeshaiona mkuu?
 
Hahah mkuu unaishi madongo kuinama nini hahah,nazingua.

Mimi ninapoishi mpk huko lindoni nakotafutia mkate hamna sehemu nakutana na makorongo wala kwny mishe zangu za daily,so saloon car kwangu ni poa tu.

Kipindi flani niliishi sehemu za mateso nikatafuta td5 discovery 1 maisha yakaenda fresh tu.
I know...but take t! We huna rafiki, ndugu, msiba, sherehe ya kukupeleka kwenye rough roads?..okay fine mabamsi yaliyojazana mabarabarani sio rafiki kwa saloon cars? I know what am try to explain here coz mi ni mhanga wa hizi barabara na nimemiliki gari zote hizo saloon na mini SUV! So nina experience na hiyo kitu...we mwenyewe unaumia sema unazuga tu hapa na kibaby Walker chako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ( joke mkuu) haaahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja both klugger V/L zimekaa kizee ila Klugger new model ni kali kisheeeenzi bei yake sasa ni shiiida.

Ila daah Vanguard zimekua nyingi sana hapa mjini kama kipindi kile cha RAV 4(KITCHEN PARTY).
Mi sijui nikimuona mkaka anadrive Klugger or Tuareg nadataa! Afuu awe msafi msafi mzuri, nafarijika moyoni...yaan anawazid waendesha Prado, V8 na manini sijui huko![emoji15] [emoji15] ...anyway kila mtu na taste yake buanaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko kununua gar ya kishamba kluger ni bora achukue Nissan xtrail which is more cheaper,sexy and strong..... Hapa madalali wa kinondon watakuja na story ohooo xtrail ni mbovu sijui ile ya flan ipo gereji[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Labda kwenye bei tuu...but kama Brevis inaenda mil 13, unajivuta Vuta mpaka ufikishe mil 23 uchukue SUV!

Mimi gari za chini hazijawahi kunibariki hataa! Nilikuwa nayo nilijionea mateso wanayopata wenye hizo saloon cars!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanateseka vipi fafanua mdau tujye sisi ambao hatujawahi kutest hayo magari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari WanaJF,
Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana.

Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?

Ili nipate picha halisi.
Nawasilisha.View attachment 845509

Blogger & Trainer
kihele hele cha kununua gari wakati mafuta tatzo unakitoa wapii[emoji13] [emoji13]

#daladala
 
I know...but take t! We huna rafiki, ndugu, msiba, sherehe ya kukupeleka kwenye rough roads?..okay fine mabamsi yaliyojazana mabarabarani sio rafiki kwa saloon cars? I know what am try to explain here coz mi ni mhanga wa hizi barabara na nimemiliki gari zote hizo saloon na mini SUV! So nina experience na hiyo kitu...we mwenyewe unaumia sema unazuga tu hapa na kibaby Walker chako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ( joke mkuu) haaahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kuna ukweli flani hivi lkn hapo hahah,though hio td5 ndii naitumiaga kwenda huko kwny hizo mishe mishe ila kwa mwaka aisee ni mara chache sana kwenda offroad mpk td5 nimeiweka sokoni sa hivi maana haina kazi kiiiile mkuu.

I got your point mkuu.

For the mean time labda niokote mahela ya Vx ingawa dalili za kuziokota hela sizioni ila Crossovers(nehiiiiiiiiiiiiii) maana harrier(old model) ilinishinda barabarani sikua naiona ikiwa stable kiasi ninachotaka mimi.
 
Mi sijui nikimuona mkaka anadrive Klugger or Tuareg nadataa! Afuu awe msafi msafi mzuri, nafarijika moyoni...yaan anawazid waendesha Prado, V8 na manini sijui huko![emoji15] [emoji15] ...anyway kila mtu na taste yake buanaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah aisee V8 tena hapo ni mziki mnene ina heshima yake ile.

Tuareg ni mashine sana tuuu hata Porsh Cayana(tena hii inaheshima balaa sababu ya neno porsh wkt bei yake kawauda tu) iko poa pia.
 
Back
Top Bottom