Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Safari hautojutia, yaap gharama zao si mbaya zinalipika na haichukui muda siku 2 tu labda sasa hivi wawe busy.Black is the dominant colour, Safari Automotive ni nyoko kuipimp ndinga afuu bei ya kawaida tuu niliona pia kwa staff mmoja alifanya pale!...... Ngoja mambo yangu yakae vizuri nizamie wadesign kitu yangu japo nilitaka niende pale Harrish MM Masaki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntaenda ...nakuaminia!Nenda Safari hautojutia, yaap gharama zao si mbaya zinalipika na haichukui muda siku 2 tu labda sasa hivi wawe busy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu unaishi madongo kuinama nini hahah,nazingua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kwenye taste nimekuelewa kabisa! Kila mtu na choice yake!
Sasa mimi gari ndogo ni kama unaniburuza tu chini, sipendelei kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja both klugger V/L zimekaa kizee ila Klugger new model ni kali kisheeeenzi bei yake sasa ni shiiida.
Klugger new model umeshaiona mkuu?Klugger sio ya kizee ni ya vijana wa kiume makini! I love nikimuona agemate anasukuma klugger!
There you are! Vanguard ni ya wadada afuu ile gari kali kinomazz, lazima ugeuze shingo ( kwa mtunzaji lkn[emoji15] )
Ndo ndoto yako nini my shostito?
Sent using Jamii Forums mobile app
I know...but take t! We huna rafiki, ndugu, msiba, sherehe ya kukupeleka kwenye rough roads?..okay fine mabamsi yaliyojazana mabarabarani sio rafiki kwa saloon cars? I know what am try to explain here coz mi ni mhanga wa hizi barabara na nimemiliki gari zote hizo saloon na mini SUV! So nina experience na hiyo kitu...we mwenyewe unaumia sema unazuga tu hapa na kibaby Walker chako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ( joke mkuu) haaahaaaaaHahah mkuu unaishi madongo kuinama nini hahah,nazingua.
Mimi ninapoishi mpk huko lindoni nakotafutia mkate hamna sehemu nakutana na makorongo wala kwny mishe zangu za daily,so saloon car kwangu ni poa tu.
Kipindi flani niliishi sehemu za mateso nikatafuta td5 discovery 1 maisha yakaenda fresh tu.
Mi sijui nikimuona mkaka anadrive Klugger or Tuareg nadataa! Afuu awe msafi msafi mzuri, nafarijika moyoni...yaan anawazid waendesha Prado, V8 na manini sijui huko![emoji15] [emoji15] ...anyway kila mtu na taste yake buanaa!Naunga mkono hoja both klugger V/L zimekaa kizee ila Klugger new model ni kali kisheeeenzi bei yake sasa ni shiiida.
Ila daah Vanguard zimekua nyingi sana hapa mjini kama kipindi kile cha RAV 4(KITCHEN PARTY).
Unaona kua haiwezekani eeh?
Nimeiona na ndo naizungumzia hapa....mkaka mmoja my bestie ndo anamiliki hiyo kitu namfurahiaje! Yaani ananihamasisha balaa!Klugger new model umeshaiona mkuu?
Wanateseka vipi fafanua mdau tujye sisi ambao hatujawahi kutest hayo magariLabda kwenye bei tuu...but kama Brevis inaenda mil 13, unajivuta Vuta mpaka ufikishe mil 23 uchukue SUV!
Mimi gari za chini hazijawahi kunibariki hataa! Nilikuwa nayo nilijionea mateso wanayopata wenye hizo saloon cars!
Sent using Jamii Forums mobile app
kihele hele cha kununua gari wakati mafuta tatzo unakitoa wapii[emoji13] [emoji13]Habari WanaJF,
Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana.
Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?
Ili nipate picha halisi.
Nawasilisha.View attachment 845509
Blogger & Trainer
23 mbali sana, Harrier Old model 18 milion unapataLabda kwenye bei tuu...but kama Brevis inaenda mil 13, unajivuta Vuta mpaka ufikishe mil 23 uchukue SUV!
Mimi gari za chini hazijawahi kunibariki hataa! Nilikuwa nayo nilijionea mateso wanayopata wenye hizo saloon cars!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kuna ukweli flani hivi lkn hapo hahah,though hio td5 ndii naitumiaga kwenda huko kwny hizo mishe mishe ila kwa mwaka aisee ni mara chache sana kwenda offroad mpk td5 nimeiweka sokoni sa hivi maana haina kazi kiiiile mkuu.I know...but take t! We huna rafiki, ndugu, msiba, sherehe ya kukupeleka kwenye rough roads?..okay fine mabamsi yaliyojazana mabarabarani sio rafiki kwa saloon cars? I know what am try to explain here coz mi ni mhanga wa hizi barabara na nimemiliki gari zote hizo saloon na mini SUV! So nina experience na hiyo kitu...we mwenyewe unaumia sema unazuga tu hapa na kibaby Walker chako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ( joke mkuu) haaahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah aisee V8 tena hapo ni mziki mnene ina heshima yake ile.Mi sijui nikimuona mkaka anadrive Klugger or Tuareg nadataa! Afuu awe msafi msafi mzuri, nafarijika moyoni...yaan anawazid waendesha Prado, V8 na manini sijui huko![emoji15] [emoji15] ...anyway kila mtu na taste yake buanaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah basi ni mwendo was passaoUnaona kua haiwezekani eeh?
Kuna msela hapa town alinunua Jeep Cherokee XJ CC 4000 kitu petrol hio,mbona amelipark tu mpk leo boss.