Sir Hemedi
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 112
- 120
Samahani hii ni kama imetoboka au hata kama haijatoboka inakula lita 1 km 8?
Wakati tunasubiri michango ya wadauKwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?
Ahsante kwa ushauri, nipo MorogoroUsinunue ya 3000cc. Nunua ya 2500cc.
Kama uko Dar, sikushauri, ila kama uko mkoani poa. Safari za mizunguko ya mkoani huwa ni fupi fupi.
ShukranWakati tunasubiri michango ya wadau
Kwa sasa pitia hii link: Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis - JamiiForums
Anamaanisha kuwa, Inatumia kiasi kikubwa cha mafuta kwa KM chache,Samahani hii ni kama imetoboka au hata kama haijatoboka inakula lita 1 km 8?
Point kubwa ni hiiAhsante kwa ushauri, nipo Morogoro
Ahsante sana kwa ushauriMaximum km 30 uwe na lita walau 4.5 kwa mikoani watu wanaenda nazo kazin kila siku na wala hawapati shida katika mafuta japokuwa tofauti na kweny gar nyingine!
Changamoto itakayokukabilia mbeleni ni mchakato wa kuuza hizi gari mara nyingi zinauzwa kwa hasara otherwise ukauzie mkoani! Lastly kwa ushauri ungeanza na gari za chini cc 1200- 1790 kama ISI,spacio, roum kama hautajali nunua brevis utambe barabarani kama crown althethe
Mbona hapo ni reasonable sana mkuu,ulitaka ilaje mkuu?
Kama ukizingatia service na kutunza gari 1Ltr utatembea Km16,mpaka 18.Very economy kwa wenye vipato vya kati na chiniWazee VIP kuhusu ist yenye engine ya 2nz cc1395 ulaji wake wa wese ni km ngap kwa litaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uuze mikoani? Siku hizi mikoani wanazijua Gari sio kama zamani wewe! Tengua kauliMaximum km 30 uwe na lita walau 4.5 kwa mikoani watu wanaenda nazo kazin kila siku na wala hawapati shida katika mafuta japokuwa tofauti na kweny gar nyingine!
Changamoto itakayokukabilia mbeleni ni mchakato wa kuuza hizi gari mara nyingi zinauzwa kwa hasara otherwise ukauzie mkoani! Lastly kwa ushauri ungeanza na gari za chini cc 1200- 1790 kama ISI,spacio, roum kama hautajali nunua brevis utambe barabarani kama crown althethe
Mkuu vipi kwenye toyota ractis ya mwaka 2008 engine ya 2SZ cc1290Kama ukizingatia service na kutunza gari 1Ltr utatembea Km16,mpaka 18.Very economy kwa wenye vipato vya kati na chini
Nimesema mikoani kwa sababu hakuna changamoto ya foleni mkuuLazima uuze mikoani? Siku hizi mikoani wanazijua Gari sio kama zamani wewe! Tengua kauli