Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Haaahaaa ...huyo anafananisha Klugger na mgonjwa wa sikoseli X trail[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jamani me napenda sana gari yangu yakuja kuanzia maisha iwe raver4 tena old modern ila iwe kwenye hali nzuri dah napenda sana alafu nikitoka hapo nije kwenye klugger baada yahapo ndio nianze kwenda nafashioooooni zamagari yaani ndinga nzuriii ikinivutia nang'oa bila presha kipindi hicho nakuwa mcharo kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi gari ya cc ndogo kumbe nayo ni janga?!...full kuhema[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli mkuu nilikuaga na mazda rx-8 2005 model na nilishawshi kuisema humu jf ina cc 1300,4 clyinders inatoa Hp 200 na zaidi lkn inatembea kuliko Altezza na gari za aina hio labda subaru forester turbo+sti wrx ndo zilizikua zinanikimbiza kwa kiasi chake.

Ila ulaji wake wa mafuta ilikua ni lita 1 km 6(kumbuka ina cc 1300 tu) na inakula engine oil sio kitoto coz ni rotary na sio hizi piston engine.
 
Mungu ni mwema bro atafanya maarifa yake.

Though usishangae muda huo unapata mkwanja mawazo yakawa yamehamia kwny gari nyingine zinazo trend kwa muda huo mkuu.
 
Basi chukua Subaru Forester ya mwaka 2008 na kuendelea(used), kwa hakika hutajuta. Ulaji wa mafuta ni moderate,too stable,luxurious na kama mpenda mbio huwezi kunyanyasika. Zipo za Speed 240kph(cc 2300) au 180kph(cc 2000) lakini zote zikiwa na instant acceleration.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa full time 4wd hapo ndio mziki mnene kwny wese,hizo AWD ndio zinazotumika kwny Subaru naona ni the best kwangu.
Kuna tofauti gani kati ya Automatic 4WD na AWD? Nijuavyo zote ni sawa,na utazipata kwenye RAV 4 za zamani ambazo ni Automatic na pia kwenye Subaru Forester karibu zote.
Ila 4WD ni ile ambayo ili kufanya gari iwe na Four Wheel engangement,dereva unabonyeza button/gear na kuruhusu gari liwe na kazi hiyo,tofauti na ile ya gari za AWD,hizo muda wote ziko Four Wheel Drive,yaani zikihisi ugumu kidogo tu,basi automatically zina engage gear hiyo,hivyo kwa mafuta siyo economy sana,kadri ya nijuavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Full time 4wd=AWD,ila sio kila gari inazo hizo.

Nyingine ni mpk ui-engage 4wd wewe mwenyewe hizo ni (ON DEMAND 4WD).
 
Unajichanga??? Kwanini hujichange ununue gari? Litakuingizia faida kiasi gani? Jichange kuwekeza tumia pesa kununua gari. Gari ni liability remember? Nunua gari ukiwa na pesa tayari husijichange utarudi nyuma mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…