witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
4wd wanasema ndo bomba kwenye shida kama utelezi/tope na milima but inakata wese balaaUnaweza ukawa na gari yenye cc kubwa (2500/3000 au zaidi) ikawa na nguvu ila ukashindwa kufika Kufika kule uendako(haina 4wd/AWD).
Sent using Jamii Forums mobile app