Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Ni miguu kiongozi wangu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mhindi yuko moro aliparalaizi kiuno mpk miguuni,gari wakaifanyia modifications anaendesha kwa mikono fresh tu mkuu.

Arusha nimeona bodaboda wenye shida ya miguu lkn wanaendesha pkpk/bodaboda kama ajira zao,pkpk zimekua modifiied fresh tu chief.
 
Nilitaka fanya hiyo kitu lkn wataalam wakashauri niache maana humu barabarani kuna vichaa wataniua, maana mkono wangu mmoja hauko vyema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mhindi yuko moro aliparalaizi kiuno mpk miguuni,gari wakaifanyia modifications anaendesha kwa mikono fresh tu mkuu.

Arusha nimeona bodaboda wenye shida ya miguu lkn wanaendesha pkpk/bodaboda kama ajira zao,pkpk zimekua modifiied fresh tu chief.
Lakini gari automatic naweza kuisukuma kama nikiifanyia mazoezi bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na akikutafuna uje ulete mrejesho hapahii

K vant
Hii ndio aina ya wanawake tulionao miaka yasasa. Kweli ndio maana vijana wa mjini wanakimbiliaga kukopa ndinga wakianzaga kazi tu!

Females are so cheap when it comes to a nigga with an expensive whip!
 
Hiyo ni gari aiseee acha mchezo mchezo
 
Brevis king of the road, kiukwel naifurahia sana chuma hii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinunue gari lenye engine kubwa kama hauwezi kuendana na gharama yake ya mafuta na service. Ni bora ukanunua gari lenye cc chini ya 1500 ili ufurahie gari lako.
 
Nimetumia brevis ya 2004 sunroof na full option aisee ni gari tamu sana ulaji wa mafuta ni kawaida tuun 8 to 9 kwa Dar na 11 to 12 safari ndefu... na sasa nataka kuamia Land cruiser TX limited

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…