Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Sasa macho yangesumbua ningeingia vipi jf mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa macho yangesumbua ningeingia vipi jf mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sorry nilimquote kumbe mng'ato..Sasa macho yangesumbua ningeingia vipi jf mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mhindi yuko moro aliparalaizi kiuno mpk miguuni,gari wakaifanyia modifications anaendesha kwa mikono fresh tu mkuu.
Ni hadithi ndefu sana kiongoz wangu, ila sijawahi hata kupiga danadana, subiri nimalize kuandika kitabu changu I'll send you a soft copy
All the best mkuu,ukikimaliza nitanunua copy 2 mkuu.Ni hadithi ndefu sana kiongoz wangu, ila sijawahi hata kupiga danadana, subiri nimalize kuandika kitabu changu I'll send you a soft copy
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok... Nitashukuru sana!Ni hadithi ndefu sana kiongoz wangu, ila sijawahi hata kupiga danadana, subiri nimalize kuandika kitabu changu I'll send you a soft copy
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka fanya hiyo kitu lkn wataalam wakashauri niache maana humu barabarani kuna vichaa wataniua, maana mkono wangu mmoja hauko vyema sanaKuna mhindi yuko moro aliparalaizi kiuno mpk miguuni,gari wakaifanyia modifications anaendesha kwa mikono fresh tu mkuu.
Arusha nimeona bodaboda wenye shida ya miguu lkn wanaendesha pkpk/bodaboda kama ajira zao,pkpk zimekua modifiied fresh tu chief.
Sawa mkuu though penye nia pana njia,one time solution itapatikana mkuu.Nilitaka fanya hiyo kitu lkn wataalam wakashauri niache maana humu barabarani kuna vichaa wataniua, maana mkono wangu mmoja hauko vyema sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini gari automatic naweza kuisukuma kama nikiifanyia mazoezi bila shakaKuna mhindi yuko moro aliparalaizi kiuno mpk miguuni,gari wakaifanyia modifications anaendesha kwa mikono fresh tu mkuu.
Arusha nimeona bodaboda wenye shida ya miguu lkn wanaendesha pkpk/bodaboda kama ajira zao,pkpk zimekua modifiied fresh tu chief.
Kabisaa mkuu wangu hio unaisukuma bila shaka kabisaa.Lakini gari automatic naweza kuisukuma kama nikiifanyia mazoezi bila shaka
Sent using Jamii Forums mobile app
InshalaSawa mkuu though penye nia pana njia,one time solution itapatikana mkuu.
Amen
Hili ndo jibu la msingi sasa...safi sanaUkiona unataka kununua gari halaf unaanza kufikiria changamoto za mafuta jua wakati wako wa kumiliki gari bado. ##kirohosafi
iko juu juu sanaNimeona wengi wanasema Harrier haiko stable barabaran..ni kwanini maana kwa njee inaonekana vizuri tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio aina ya wanawake tulionao miaka yasasa. Kweli ndio maana vijana wa mjini wanakimbiliaga kukopa ndinga wakianzaga kazi tu!Na akikutafuna uje ulete mrejesho hapahii
K vant
Brevis king of the road, kiukwel naifurahia sana chuma hii,Maximum km 30 uwe na lita walau 4.5 kwa mikoani watu wanaenda nazo kazin kila siku na wala hawapati shida katika mafuta japokuwa tofauti na kweny gar nyingine!
Changamoto itakayokukabilia mbeleni ni mchakato wa kuuza hizi gari mara nyingi zinauzwa kwa hasara otherwise ukauzie mkoani! Lastly kwa ushauri ungeanza na gari za chini cc 1200- 1790 kama ISI,spacio, roum kama hautajali nunua brevis utambe barabarani kama crown althethe