Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Kuna mhindi yuko moro aliparalaizi kiuno mpk miguuni,gari wakaifanyia modifications anaendesha kwa mikono fresh tu mkuu.

Arusha nimeona bodaboda wenye shida ya miguu lkn wanaendesha pkpk/bodaboda kama ajira zao,pkpk zimekua modifiied fresh tu chief.
Nilitaka fanya hiyo kitu lkn wataalam wakashauri niache maana humu barabarani kuna vichaa wataniua, maana mkono wangu mmoja hauko vyema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mhindi yuko moro aliparalaizi kiuno mpk miguuni,gari wakaifanyia modifications anaendesha kwa mikono fresh tu mkuu.

Arusha nimeona bodaboda wenye shida ya miguu lkn wanaendesha pkpk/bodaboda kama ajira zao,pkpk zimekua modifiied fresh tu chief.
Lakini gari automatic naweza kuisukuma kama nikiifanyia mazoezi bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni gari aiseee acha mchezo mchezo
 
Maximum km 30 uwe na lita walau 4.5 kwa mikoani watu wanaenda nazo kazin kila siku na wala hawapati shida katika mafuta japokuwa tofauti na kweny gar nyingine!
Changamoto itakayokukabilia mbeleni ni mchakato wa kuuza hizi gari mara nyingi zinauzwa kwa hasara otherwise ukauzie mkoani! Lastly kwa ushauri ungeanza na gari za chini cc 1200- 1790 kama ISI,spacio, roum kama hautajali nunua brevis utambe barabarani kama crown althethe
Brevis king of the road, kiukwel naifurahia sana chuma hii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinunue gari lenye engine kubwa kama hauwezi kuendana na gharama yake ya mafuta na service. Ni bora ukanunua gari lenye cc chini ya 1500 ili ufurahie gari lako.
 
Nimetumia brevis ya 2004 sunroof na full option aisee ni gari tamu sana ulaji wa mafuta ni kawaida tuun 8 to 9 kwa Dar na 11 to 12 safari ndefu... na sasa nataka kuamia Land cruiser TX limited

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom