Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Ndio hizo kina brevis,na mwenzake mark x,halafu kibaya zaidi zinavutia nyuma,kwenye mchanga kidogo tu utelezi shida yake inakua si ya kitotoUnaweza ukawa na gari yenye cc kubwa (2500/3000 au zaidi) ikawa na nguvu ila ukashindwa kufika Kufika kule uendako(haina 4wd/AWD).
Ni kosa kubwa sana wamefanya. Gari Mark II,Mark X,Brevis,Verossa et al ni shida sana. Ukikosea kupita kwenye korongo,tairi ya nyuma ikiwa juu tu,gari linakwama. Kwenye mchanga ndo shida kubwa sana. Walifanya makosa sana. Nafikiri ndo maana baadae wameamua gari ndogo nyingi zivute mbele tu.Ndio hizo kina brevis,na mwenzake mark x,halafu kibaya zaidi zinavutia nyuma,kwenye mchanga kidogo tu utelezi shida yake inakua si ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi crown athlete inavutia nyuma au ina 4WD?Ni kosa kubwa sana wamefanya. Gari Mark II,Mark X,Brevis,Verossa et al ni shida sana. Ukikosea kupita kwenye korongo,tairi ya nyuma ikiwa juu tu,gari linakwama. Kwenye mchanga ndo shida kubwa sana. Walifanya makosa sana. Nafikiri ndo maana baadae wameamua gari ndogo nyingi zivute mbele tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari WanaJF,
Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana.
Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?
Ili nipate picha halisi.
Nawasilisha.View attachment 845509
Blogger & Trainer
Off Topic... Alert! ALERT!Black is the dominant colour, Safari Automotive ni nyoko kuipimp ndinga afuu bei ya kawaida tuu niliona pia kwa staff mmoja alifanya pale!...... Ngoja mambo yangu yakae vizuri nizamie wadesign kitu yangu japo nilitaka niende pale Harrish MM Masaki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kiko chini, low ground clearanceKuna hii gari 2009 Subaru Impreza nimeiona YouTube ni matata sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ghost huwa unapotelea wapi mkuuOff Topic... Alert! ALERT!
Nimegundua kuwa Witnessj ni mdada wakishua. Kuna sababu kubwa kwanini wale wakina skysrapa, sijui skylet, Rubi, Demi, misschaga na yule mwenye dp za mahips hips hawajaonekana humu. That means ni wapanda daladala[emoji12] . Kama nimekuuzi am sorry 4 zati, take this with a grain of salt and laugh with me[emoji23] .
Kiukweli natafuta wadada Kama nyie witnessj siwapati. Zaidi ya kuwaona kwenye foleni Posta tu, sijui machimbo yenu wapi. Am talking about ladies like you mnaoendesha magari mazuri, achana na hawa wa IST, tabia zao sawa na za wa daladala. Very stubborn.
Kuna siku nilikutana na mdada yupo ndani ya Range Rover Red Cross kwenye mataa. Nikabidi niweke bonge la music nianze kuimba 'Endi I will du enyithing 4 ya!!!' Nikapata attention[emoji2] . Despite the fact siku hii nilitoka na Funcargo imegongwa mbele kiaina, akaongea na Mimi. Piga vocal Kama zote akatoa karatasi kuniandikia number. Time anarusha paper, napigiwa honi foleni imesogea [emoji35] [emoji35] karatasi ikagonga kioo Cha nyuma chini. Nilidhani na upande wake utasogea. Nikampoteza. Kwa kweli nilitamani niwashe hazard nitafute ile paper naangalia nyuma hata range siioni[emoji17].
My question for you WitnessJ... Machimbo yako wapi? Na Mimi nihangout huko, naweza pata mwenye Porsche aiseee.
P.s Witnessj, are you taken here on JF?[emoji57] if not please be my Jf babe.
-callmeGhost
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo medical school inabana, kila mwaka mgumu kuliko uliopita. Mwaka wa tatu nilikula sushi sana.. Kuna kipindi hata kugusa simu huwezi. Sema graduation inakaribia...ghost huwa unapotelea wapi mkuu
Aiseeeee[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Off Topic... Alert! ALERT!
Nimegundua kuwa Witnessj ni mdada wakishua. Kuna sababu kubwa kwanini wale wakina skysrapa, sijui skylet, Rubi, Demi, misschaga na yule mwenye dp za mahips hips hawajaonekana humu. That means ni wapanda daladala[emoji12] . Kama nimekuuzi am sorry 4 zati, take this with a grain of salt and laugh with me[emoji23] .
Kiukweli natafuta wadada Kama nyie witnessj siwapati. Zaidi ya kuwaona kwenye foleni Posta tu, sijui machimbo yenu wapi. Am talking about ladies like you mnaoendesha magari mazuri, achana na hawa wa IST, tabia zao sawa na za wa daladala. Very stubborn.
Kuna siku nilikutana na mdada yupo ndani ya Range Rover Red Cross kwenye mataa. Nikabidi niweke bonge la music nianze kuimba 'Endi I will du enyithing 4 ya!!!' Nikapata attention[emoji2] . Despite the fact siku hii nilitoka na Funcargo imegongwa mbele kiaina, akaongea na Mimi. Piga vocal Kama zote akatoa karatasi kuniandikia number. Time anarusha paper, napigiwa honi foleni imesogea [emoji35] [emoji35] karatasi ikagonga kioo Cha nyuma chini. Nilidhani na upande wake utasogea. Nikampoteza. Kwa kweli nilitamani niwashe hazard nitafute ile paper naangalia nyuma hata range siioni[emoji17].
My question for you WitnessJ... Machimbo yako wapi? Na Mimi nihangout huko, naweza pata mwenye Porsche aiseee.
P.s Witnessj, are you taken here on JF?[emoji57] if not please be my Jf babe.
-callmeGhost
Sent using Jamii Forums mobile app
Six cylinders yeyote lazima ile wese la kutosha, Gari ambazo ni economics ni za 4cylinders.Habari WanaJF,
Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana.
Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?
Ili nipate picha halisi.
Nawasilisha.View attachment 845509
Blogger & Trainer
Kumbuka tu ile methali:" vya kuazima....".Mshikaji wangu ofisini kavuta hilo la 2014 ....mpaka namtamania[emoji15] [emoji15] ...weekend hii ananikopa mndinga wake huo niundeshe yy anabaki na mkebe wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani ijumaa ifike nikabidhiwe kitu, can't wait!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chache zina 4wd sawa na Verossa,Markx et al,nyingi kwa nyuma huandikwa neno "Four"Hivi crown athlete inavutia nyuma au ina 4WD?
Sawa mkuu ....but kesho ndo nakabidhiwa "mnyama" kwa muda wa siku tatu![emoji126] [emoji126] [emoji126]
Four! Kuna kitu umenikumbusha wakati ni ndo mshamba mshamba wa gari!Chache zina 4wd sawa na Verossa,Markx et al,nyingi kwa nyuma huandikwa neno "Four"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hapana mambo hayo nimeokoka kweli nampenda yesu nimetubu dhambi nakuacha sawasawa na neno kenye biblia linalosema "afichae dhambi zake hatafanikiwa, bali yeye aziungamae na kuzia acha atapata rehema"(mithari 28:13) so mimi nimeungama uzizi, tamaa mbaya ,kupiga punyeto, ufiraji, hasira, kiburi, matusi , dharau nazingiene kama hizo na nimekubari kiziaacha na yesu kanisamee kweli na ushindi nimepata na wew njoo kwa YESU utumbu dhambi ulizonazo (uzizi) ili ufike mbinguni usipofanya ivo jihanam inakusubiliStory za Mbunye vp mkuu?