Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Ndio hizo kina brevis,na mwenzake mark x,halafu kibaya zaidi zinavutia nyuma,kwenye mchanga kidogo tu utelezi shida yake inakua si ya kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kosa kubwa sana wamefanya. Gari Mark II,Mark X,Brevis,Verossa et al ni shida sana. Ukikosea kupita kwenye korongo,tairi ya nyuma ikiwa juu tu,gari linakwama. Kwenye mchanga ndo shida kubwa sana. Walifanya makosa sana. Nafikiri ndo maana baadae wameamua gari ndogo nyingi zivute mbele tu.

Hivi crown athlete inavutia nyuma au ina 4WD?
 
Black is the dominant colour, Safari Automotive ni nyoko kuipimp ndinga afuu bei ya kawaida tuu niliona pia kwa staff mmoja alifanya pale!...... Ngoja mambo yangu yakae vizuri nizamie wadesign kitu yangu japo nilitaka niende pale Harrish MM Masaki..

Sent using Jamii Forums mobile app
Off Topic... Alert! ALERT!

Nimegundua kuwa Witnessj ni mdada wakishua. Kuna sababu kubwa kwanini wale wakina skysrapa, sijui skylet, Rubi, Demi, misschaga na yule mwenye dp za mahips hips hawajaonekana humu. That means ni wapanda daladala[emoji12] . Kama nimekuuzi am sorry 4 zati, take this with a grain of salt and laugh with me[emoji23] .

Kiukweli natafuta wadada Kama nyie witnessj siwapati. Zaidi ya kuwaona kwenye foleni Posta tu, sijui machimbo yenu wapi. Am talking about ladies like you mnaoendesha magari mazuri, achana na hawa wa IST, tabia zao sawa na za wa daladala. Very stubborn.

Kuna siku nilikutana na mdada yupo ndani ya Range Rover Red Cross kwenye mataa. Nikabidi niweke bonge la music nianze kuimba 'Endi I will du enyithing 4 ya!!!' Nikapata attention[emoji2] . Despite the fact siku hii nilitoka na Funcargo imegongwa mbele kiaina, akaongea na Mimi. Piga vocal Kama zote akatoa karatasi kuniandikia number. Time anarusha paper, napigiwa honi foleni imesogea [emoji35] [emoji35] karatasi ikagonga kioo Cha nyuma chini. Nilidhani na upande wake utasogea. Nikampoteza. Kwa kweli nilitamani niwashe hazard nitafute ile paper naangalia nyuma hata range siioni[emoji17].

My question for you WitnessJ... Machimbo yako wapi? Na Mimi nihangout huko, naweza pata mwenye Porsche aiseee.

P.s Witnessj, are you taken here on JF?[emoji57] if not please be my Jf babe.

-callmeGhost

ghost huwa unapotelea wapi mkuu
 
ghost huwa unapotelea wapi mkuu
Tatizo medical school inabana, kila mwaka mgumu kuliko uliopita. Mwaka wa tatu nilikula sushi sana.. Kuna kipindi hata kugusa simu huwezi. Sema graduation inakaribia...

Kusoma Soma naingiaga ila kuchangia Sasa... Anyway tupo pamoja Devion [emoji41]

-callmeGhost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Off Topic... Alert! ALERT!

Nimegundua kuwa Witnessj ni mdada wakishua. Kuna sababu kubwa kwanini wale wakina skysrapa, sijui skylet, Rubi, Demi, misschaga na yule mwenye dp za mahips hips hawajaonekana humu. That means ni wapanda daladala[emoji12] . Kama nimekuuzi am sorry 4 zati, take this with a grain of salt and laugh with me[emoji23] .

Kiukweli natafuta wadada Kama nyie witnessj siwapati. Zaidi ya kuwaona kwenye foleni Posta tu, sijui machimbo yenu wapi. Am talking about ladies like you mnaoendesha magari mazuri, achana na hawa wa IST, tabia zao sawa na za wa daladala. Very stubborn.

Kuna siku nilikutana na mdada yupo ndani ya Range Rover Red Cross kwenye mataa. Nikabidi niweke bonge la music nianze kuimba 'Endi I will du enyithing 4 ya!!!' Nikapata attention[emoji2] . Despite the fact siku hii nilitoka na Funcargo imegongwa mbele kiaina, akaongea na Mimi. Piga vocal Kama zote akatoa karatasi kuniandikia number. Time anarusha paper, napigiwa honi foleni imesogea [emoji35] [emoji35] karatasi ikagonga kioo Cha nyuma chini. Nilidhani na upande wake utasogea. Nikampoteza. Kwa kweli nilitamani niwashe hazard nitafute ile paper naangalia nyuma hata range siioni[emoji17].

My question for you WitnessJ... Machimbo yako wapi? Na Mimi nihangout huko, naweza pata mwenye Porsche aiseee.

P.s Witnessj, are you taken here on JF?[emoji57] if not please be my Jf babe.

-callmeGhost

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeee[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani kumbe ndo unajichanga?? ndo unataka iwe first car au?? ....brevis sio gari la kujichanga ni kwa watu wenye hela yani ni kitendo cha kwenda tu kutoa hela na kununua tofaut na hapo we jichange tu ununue vitz kama sio nissan micra
 
Habari WanaJF,
Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana.

Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?

Ili nipate picha halisi.
Nawasilisha.View attachment 845509

Blogger & Trainer
Six cylinders yeyote lazima ile wese la kutosha, Gari ambazo ni economics ni za 4cylinders.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna gari na vigari. Mkuu gari zinaanzia CC2000+ Vigari viko chini ya CC 1990.

KAMA hutaki gari inywe mafuta unataka inywe juice?

Watu wengi bongo hawajui kuwa ulaji wa mafuta pia huchangizwa sana na uendeshaji mbovu wa gari. Any way we nunua vigari utaanza kulia navyp gereji muda si mrefu.
 
Mshikaji wangu ofisini kavuta hilo la 2014 ....mpaka namtamania[emoji15] [emoji15] ...weekend hii ananikopa mndinga wake huo niundeshe yy anabaki na mkebe wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Natamani ijumaa ifike nikabidhiwe kitu, can't wait!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka tu ile methali:" vya kuazima....".

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine magari tulianzia enzi za Starlet!tukapanda mdogo mdogo mpaka tulipo!Sasa Brotther kwa kikubwa ujipe mawazo yako tu yanauwezo wa Kumiliki gari!maana gar sio tu kuwa na CC kubwa,fuel consuption na mengineyo!
jifungie ndani uanze mahesabu yako kuwa Kumiliki gari*maisha haya kula,kodi,= kipato chako?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Story za Mbunye vp mkuu?
Mimi hapana mambo hayo nimeokoka kweli nampenda yesu nimetubu dhambi nakuacha sawasawa na neno kenye biblia linalosema "afichae dhambi zake hatafanikiwa, bali yeye aziungamae na kuzia acha atapata rehema"(mithari 28:13) so mimi nimeungama uzizi, tamaa mbaya ,kupiga punyeto, ufiraji, hasira, kiburi, matusi , dharau nazingiene kama hizo na nimekubari kiziaacha na yesu kanisamee kweli na ushindi nimepata na wew njoo kwa YESU utumbu dhambi ulizonazo (uzizi) ili ufike mbinguni usipofanya ivo jihanam inakusubili
 
Back
Top Bottom